Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
Taarifa za ndani ni kuwa Team Zitto wameamua kutumia New Media outlets kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi katika kuipiku hatua za serikali kupiga marufuku discussions zozote zile zinazohusu Budget.
Zitto na team yake wameamua kutumia YOUTUBE ambako leo ilipangwa afanye live stream kwenye youtube, pia watatumia soundcloud,na pia watatumia audio na video clips ambazo zitarushwa kwa watu ili ziwafikie kwenye simu zao za mikononi kupitia Whatsapp,telegram,viber,wechat,twitter, facebook na zinginezo
Issue hapa ni kuwafikia watu wengi zaidi na ku bypass hizi stone age strategies za serikali za kuzuia mikutano ya hadhara.
Cha kujiuliza serikali nayo itatumia new media strategies au itaendelea na mambo ya zama za mawe kudeal na karne ya 21?