chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,111
- 1,494
vijana wengi Tz wana simu feki, zina zimwa kesho, bado ni mpango hafifu.hapo kwenye mitandao ya kijamii hawatamweza
vijana wengi Tz wana simu feki, zina zimwa kesho, bado ni mpango hafifu.hapo kwenye mitandao ya kijamii hawatamweza
Kuna maandiko yanaelezea jinsi mashetani wanavyopita kando kando ya Mbingu kupata habari ksiha kuwahi kuwafikishia binadamu.Na kwa vile huwa wanasikiliza kwa nje,huwa hawashiki maneno yote na mwishowe hadithi zao huwa zimepotoka saaana. Km naanza kielewa hicho kitabu.Nimkumbushe zitto na wengine " mungwana akivuliwa nguo uchutama"
Serikali imeshindwa kutekeleza ilani yake, Zito ana ilani?Ndio maana D.Trump alisema waafrika lazima watawaliwe tena. Huyo Zitto angekuwa bize kushawishi maendeleo ili na sisi tuwe na YouTube, Instagram, gmail zetu, kuliko kutumia vifaa vya wazungu kujadili matatizo ya waafrika! Ndio maana Trump alisema tunawatukana kupitia Internet zao, satellites zao, wakiamua kuzima atafikishaje huo Ujumbe?