TehNdio maana D.Trump alisema waafrika lazima watawaliwe tena. Huyo Zitto angekuwa bize kushawishi maendeleo ili na sisi tuwe na YouTube, Instagram, gmail zetu, kuliko kutumia vifaa vya wazungu kujadili matatizo ya waafrika! Ndio maana Trump alisema tunawatukana kupitia Internet zao, satellites zao, wakiamua kuzima atafikishaje huo Ujumbe?
Just time will tell, akigusa masilahi hata kuwa salama, kama unabisha nenda youtube ukafungue video ya Chura then ulete mrejesho hapa...,![]()
Taarifa za ndani ni kuwa Team Zitto wameamua kutumia New Media outlets kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi katika kuipiku hatua za serikali kupiga marufuku discussions zozote zile zinazohusu Budget.
Zitto na team yake wameamua kutumia YOUTUBE ambako leo ilipangwa afanye live stream kwenye youtube, pia watatumia soundcloud,na pia watatumia audio na video clips ambazo zitarushwa kwa watu ili ziwafikie kwenye simu zao za mikononi kupitia Whatsapp,telegram,viber,wechat,twitter, facebook na zinginezo
Issue hapa ni kuwafikia watu wengi zaidi na ku bypass hizi stone age strategies za serikali za kuzuia mikutano ya hadhara.
Cha kujiuliza serikali nayo itatumia new media strategies au itaendelea na mambo ya zama za mawe kudeal na karne ya 21?
Kama mnajua kwanini msimpuuze? Mbona mnahahaWaende zao huko kwani hatujui kuwa zitto ni tapeli wa siasa.
Mpe mwovu nguvu za kufikia vyema, atavinajisi na kuvitumia kubomoa.![]()
Taarifa za ndani ni kuwa Team Zitto wameamua kutumia New Media outlets kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi katika kuipiku hatua za serikali kupiga marufuku discussions zozote zile zinazohusu Budget.
Zitto na team yake wameamua kutumia YOUTUBE ambako leo ilipangwa afanye live stream kwenye youtube, pia watatumia soundcloud,na pia watatumia audio na video clips ambazo zitarushwa kwa watu ili ziwafikie kwenye simu zao za mikononi kupitia Whatsapp,telegram,viber,wechat,twitter, facebook na zinginezo
Issue hapa ni kuwafikia watu wengi zaidi na ku bypass hizi stone age strategies za serikali za kuzuia mikutano ya hadhara.
Cha kujiuliza serikali nayo itatumia new media strategies au itaendelea na mambo ya zama za mawe kudeal na karne ya 21?
Serikali ikiamua na kufanikiwa kubana mpaka hapo itakuwa ibathibitisha tu udhalimu wake ambao tumekuwa tukiusema kila uchao. Serikali ifahamu tu kuwa haiwezi kuzuia haki kwa muda wote na siku wananchi hawa watakapong'amua na kuupata ujasiri na usugu; serikali itatumia silaha zote na haitsishinda nguvu ya umma uliokasirishwa kweli kweli.Serikali inao uwezo wa kumzimia mawasiliano yake ya ki elecronic kama ambavyo itakaowazimia wenye simu na computer zisivyokuwa na viwango.
Usitake kucheza na serikali utaumia bure. Tii sheria bila shuruti!!
TCRA wamempa kibali?
Wapeni nafasi muone watakavyo geuza nchi kama nchi za far east zilivyogeuza.Ndio maana D.Trump alisema waafrika lazima watawaliwe tena. Huyo Zitto angekuwa bize kushawishi maendeleo ili na sisi tuwe na YouTube, Instagram, gmail zetu, kuliko kutumia vifaa vya wazungu kujadili matatizo ya waafrika! Ndio maana Trump alisema tunawatukana kupitia Internet zao, satellites zao, wakiamua kuzima atafikishaje huo Ujumbe?
tafuta ile picha ya wanakijiji walioandamana kule mtwara kuhusu gesi. kuna mtu alibeba bango lililoandikwa kuwa watawapeleka The Hague watawalaMwana katumbi anauza maharage Dar atadownload na kuwaonesha wenzake akifika katumbi tena huyu atapuga hela maana itakuwa kuona jero!