Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?
wanajeshi hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama na wangelazimika basi wote wangekuwa CCM.Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
Watu wa kanda ya ... ni wabaguzi tangu zamani hata nyerere alilijua hilo
Haaaa= kufilisika
= hana
Sawa utakuwa CCMUkawaKama ni hivyo wote tutaanza unafiki kwa kununua kadi za ccm lakini wakati wa kupiga kura tutakuwa tunawapigia ukawa
Hizi nafasi ni za kuchaguliwa kwa hiyo anayechagua ana haki ya kumchagua anayemtaka sasa kosa lipo wapi? Tubadilishe katiba nafasi zote za kazi wanaopenda waombe na wafanyiwe usaili kama Kenya japo wanafanya kiduchu. Vinginevyo Zitto serikali ya umoja wa kitaifa ipo Zanzibar sio bara.Hata hivyo suala la ubaguzi mbona hata wewe Zitto ni mbaguzi umesahau kule bungeni ulipowaambia wabunge wa upinzani ambao ni wa dini yako kwamba wasitoke nje kwa kuwa.......huo sio ubaguzi na udini ndani yake"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."
Zitto Kabwe
Unashangaa kweli au ni unafiki tu?Kwani CCM wanamakubaliano ya kuunda serikali ya mseto Na ACT.?
Mkuu tayari tusha msoma sanaUkimsikiliza na kumtazama Mkuu wa Kaya wakati anaongea unaweza hata kumuhurumia kuwa anakwazika mno na kuumia sana na mambo anayoyakemea lakini anachokitekeleza ni tofauti kabisa na message anayoitoa kwa umma kwenye hotuba zake.
Unashangaa kweli au ni unafiki tu?
Anajua tu sema sasa zzk mambo yamemgeuka kwani inaonekana katoswaBahati mbaya amechelewa kujua hayo mambo,awaulize watu wa Buziku na Runazi kule biharamulo wanamjua vizuri jamaa,
Hiyo ndiyo malipo ya usalitiZitto aache unafiki nayeye
Amesha chelewa kwani tushamjuaMagu anatafuta huruma za wananchi na siku zote anacho kisema ni tofauti kabisa na anacho kifanya.
Mlivyokuwa mna mramba ramba ili awasaliti cdm hamkulijiua hilo?Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."
Zitto Kabwe
Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa