Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,976
- 33,596
Yote hii ni kuwachanganya nyumbu mfano badala ya wao kujadili mambo muhim kama katiba mpya na tume huru ya uchaguzi waendelee kujadili vitamko kama hivyo.. Na wakija kuzinduka 2020 hii hapa wanaingia uchaguzini na tume ileile, watu walewale na ccm inapeta kisha tuna rudi mitandaoni kujadili kuibiea kura na kusubiri Mange apange maandamano Instagram.Wameweweseka Mange kawashika pabaya! Lakini wakati huo huo kuhusu waraka wa Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nchini wako kimyaaaaaa!!!
Kweli akili ni nywele hata walio ndani ya Serikali wana zao!!!