Mageta Opanga
Member
- Jul 9, 2009
- 19
- 0
Ni lipi la kifisadi aliloliibua Zitto ambalo wengi mnadhani ni wa muhimu kiasi hicho yeye kuwepo BUNGENI? Au ni ule ubishiubishi wake wa watu wa KIGOMA kama akina KADUGUDA wa Simba?
Very good, agombee tu hata hapa Dar, nadhani atasaidia kero nyingi za jiji hili, argh!Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.
Fuatilia ansadi za bunge utajua hayo unayoyaulizaNi lipi la kifisadi aliloliibua Zitto ambalo wengi mnadhani ni wa muhimu kiasi hicho yeye kuwepo BUNGENI? Au ni ule ubishiubishi wake wa watu wa KIGOMA kama akina KADUGUDA wa Simba?
Hana mchango wowote wa maana. Ubishi wake ule umemsaidia kuingia /kuteuliwa kwenye tume/kamati mbalimbali za ulaji. Nasikia atagombea kwenye jimbo mojawapo la Dar Es Salaam. Anawambia washikaji wake wa karibu kuwa majimbo ya Dar yamekaa kitaifa zaidi ambayo anadhani ndio hadhi yake. Yeye ni Mbunge wa Kitaifa zaidi. Haelewi kuwa mbunge wa kitaifa ni RAIS wa nchi peke yake.Michango yake inaeleweka. Kuibua hoja za ufisadi sio umihimu wa kuwepo bungeni.
Je atagombea ubunge tena? Wapi?
Hakuna. Ndio maana nimeuliza! Kama ni ile sahihi ya Karamagi kule London kwa ajili ya Buzwagi bado iko vilevile na madini yanaendelea kuchimbwa.Fuatilia ansadi za bunge utajua hayo unayoyauliza
Ni lipi la kifisadi aliloliibua Zitto ambalo wengi mnadhani ni wa muhimu kiasi hicho yeye kuwepo BUNGENI? Au ni ule ubishiubishi wake wa watu wa KIGOMA kama akina KADUGUDA wa Simba?
Hivi kuna ukweli na haya 'Matamshi ya wakuu' ?
Rorya?
Nothing new.... mshahara wa 10,000,000 sio mchezo.
Talk abt staki nna taka!
Hana mchango wowote wa maana. Ubishi wake ule umemsaidia kuingia /kuteuliwa kwenye tume/kamati mbalimbali za ulaji. Nasikia atagombea kwenye jimbo mojawapo la Dar Es Salaam. Anawambia washikaji wake wa karibu kuwa majimbo ya Dar yamekaa kitaifa zaidi ambayo anadhani ndio hadhi yake. Yeye ni Mbunge wa Kitaifa zaidi. Haelewi kuwa mbunge wa kitaifa ni RAIS wa nchi peke yake.
Ni kweli mimi binafsi nimezungumza naye Biharamulo na akanieleza kuwa atagombea, na kwamba msingi wa kauli ile ulikuwa wa dhati lakini baada ya kupatra ushauri kwa watu wengi ikiwemo michango ya wana JF ameamua kugombea tena na Jimbo lake ni lilelile wala siyo KAWE kama wanavyoeleza watu.
Nilimuomba pia atoe ukweli huo hapa JF na akaeleza angefanya hivyo.
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.
Kwahiyo bado ataendelea na 'Jimbo' lake Kigoma?
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.
Mugo"The Great";518797 said:Hivi mnaosema hajafanya kitu jimboni kwake mna uhakika? Nadhani waulizeni watu vijiji vya Bitale, Mkongoro, Matyazo, Kalinzi n.k ndiyo wako kwenye position nzuri zaidi ya ku-judge kuliko kumhukumu kupitia vyombo vya habari.