RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Zitto amekaririwa na gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi ya tarehe 14/03/2015 akisema kuwa atachukua uamuzi mgumu kuhusu hatima yake ndani ya CHADEMA.
Mbona umeruka kipengele kinachosema Ben Saanane ndiye aliye fanikisha kupatikana kwa taarifa nyeti za kipelelezi kundi la PM7...?
Hakuna msafi.
Zingefuatwa kanuni leo hii mbowe angekua sio mwenyekiti wa chama mana muda wake ulishakwisha kikatiba lakini pesa ikarubuni wajumbe wakakubali kubadili katiba kwa maslahi ya Mbowe.
Ilikua ni zamu ya Zito kuwa Mwenyekiti kakini wachaga wakaona maslahi yao ndani ya chadema yako hatarini kwani Zito ni mtu wa kupenda usawa.
Saccos ya Mzee mtei kasema shibuda
huyu jamaa ana tapatapa,sasa ukisema wazee wame kushauri ndio unadhani uta mtishia nani?
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM
huyu jamaa ana tapatapa,sasa ukisema wazee wame kushauri ndio unadhani uta mtishia nani?
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM
Tuliza kichwa basi mkuu
....chadema msikubali wala kurudi nyuma,onyesheni chadema ni taasisi.Hivyo mtu kama Zito ahangaike na sheria na kanuni za chama.Kama kuna sheria ya chama inayomhukumu basi lazima ahitii.
Wote njaa zinawasumbua sio zito pekee yake, umesahau kafulila alitimuliwa na Nccr ya Mbatia, akaenda mahakaman wiki iliyofuata Mbatia akateuliwa mbunge na Rais akasahau ya Kafulila had leo
Zitto kweli mzito. Amekua zaidi ya habari.
Sasa braza aombe radhi kwa kosa gani?? Kutaka mahesabu ya vyama vya siasa yakaguliwe?? Kutaka kugombea uenyekiti chadema. ?? Kuonesha nia ya urais mapema??
1.Hatagombea ubunge tena katika jimbo analoongoza sasa
2.Atafanya maamuzi magumu muda siyo mrefu
Chanzo: twitter yake
Msamaha wa nini?wakati viongozi wa CDM wana chuki binafsi na Zitto.Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini