Kuwa mpole wala usiwaze mtakimbiana sana mwaka huu ngoja jamaa aropoke utapata shida kweli tena unakesi ya kujibu kwa zitto unakumbuka?Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Acha kudanganya watu wewe,Kafulila hajawahi omba msamaha kwa Mbowe wala Chadema,ila chadema ndo walimpigia magoti chini ya mwavuli wa ukawa.Zitto anataka umaarufu wakulazimisha.Ametolewa uanachama badala ya kuomba msamaha kwausaliti ulioufanya,anataka kujijengea umaarufu wa kujifananisha na watu walio fukuzwa kwenye vyama vyao na kuongoza vyama vingine vipya walivyoviunda kama kina Malema.Zitto utapotea kwenye siasa na kusahaulika.Kafulilia alilitambua hilo,akatoa chozi kwa mwenyekiti wake akasamehewa.Zitto kiburi cha nini?
cdm haipotezi chochote kwa kumwondoa ZZKUpo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!
Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!
Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...
Acha kudanganya watu wewe,Kafulila hajawahi omba msamaha kwa Mbowe wala Chadema,ila chadema ndo walimpigia magoti chini ya mwavuli wa ukawa.
Acha kudanganya watu wewe,Kafulila hajawahi omba msamaha kwa Mbowe wala Chadema,ila chadema ndo walimpigia magoti chini ya mwavuli wa ukawa.
Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!
Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!
Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Kuna watu wengi waliopotea kwenye siasa kwa ajili yake (kwa uchache Juliana, Mwampamba, Mhache, Mkumbo, Mwigamba n.k). Hivyo kuomba radhi wenzie hao wataona anaendelea kuwasaliti. Ila upande wangu, Watanzania tunahitaji mabadiliko, na ni bora zaidi na kwa faida yetu sote kama atatengeneza mambo yake na Chadema ili tushiriki pamoja kuangusha hili ZIMWI.Hivi huyu jamaa akiomba radhi chama atapungukiwa nini? Aisee