Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Zitto anajiona yeye ndio yeye hana tofauti na Augustine mrema aliejifanya mpinzani wa kweli lkn sasa anaipigia magoti ccm. Huyo ndio amekwisha tena.
 
Amtafute lyatonga Mrema,Hamad Rashid dovutwa,Cheyo Mtikila waunde umoja wao
 
 
 
Akae huko huko huyu msaliti, anataka aingie UKAWA anusenuse mikakati ya UKAWA kisha aende TISS apeleke habari nyeti za ndani ya UKAWA. Huyu si mtu wa kuaminika hata kidogo UKAWA wasifanye makosa ya kumkaribisha huyu. Usaliti alioufanya ndani ya CHADEMA umetosha na hadi hii leo hataki kuomba radhi kwa usaliti mkubwa alioufanya.

...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
 
Wasaliti ndivyo walivyo Mkuu ni vigumu sana kuwaelewa. Kuwaepuka tu ndio uamuzi muafaka.

kumuelewa zitto inahitaji uwe umevuta ganja kubwa kuliko vidole vya kingkong.
 
Amedai kuwa yeye anafuata falsafa ya Dr. Kwame Nkrumah kwamba "Mbele daima nyuma mwiko"!
 
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...

Acha uwongo, angekuwa haungi mkono UKAWA mbona alikwenda kwenye mikutano ya CUF kule Lindi na Mtwara baada ya kualikwa na Prof. Lipumba ambae yuko UKAWA? Kwenye hilo bunge la katiba mbona hata yeye hakuudhia sehemu ya mwisho iliyopitsha katiba pendekezwa!
 
Kwa nini asiungane na kushirikiana na Mwenyekiti wa ACT aliyemkuta, ndugu Lucas Kadawi Limbu?
 
Jana Samson Mwigamba kasema ACT inajipanga kuhakikisha inaifuta kabisa CUF maeneo ya yote ya pwani, Leo Zitto anasema anaunga mkono UKAWA:
Tuweni wa kweli tu, hawa Act wanaijua dira yao muhimu ni ipi?

Mkuu heshima kwako,wanafiki huwa hawajifichi woote tutawajua nia zao ni suala la muda.
 
Last edited by a moderator:
Amtafute lyatonga Mrema,Hamad Rashid dovutwa,Cheyo Mtikila waunde umoja wao
Hawa ndio wanaomstahili maana hatuitaji tena mamuluki na wapelelezi, hatuna utamaduni wa kuvumilia wasaliti, wanataka tuongee nao nini wakati wao wana siasa tofauti na sisi, waende zao huko.
 
Naona ZZK anaanza kutofautiana lugha na wenzake waliomtangulia. Hebu someni hizi post mbili:

 
Kama anaunga mkono UKAWA ni jambo jema. Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Ndio maana leo hii CHADEMA wanashirikiana kwenye UKAWA na chama walichogoma kukishirikisha kwenye kambi rasmi ya upinzani wakikiita ni cha kiriberali miezi michache iliyopita.
 
...leo ndo hana tatizo na ukawa, mbona wakati wa BMK alihojiwa na clouds akai diss ukawa na uamuzi wao wa kususia bunge. na pia akasema haoni umuhimu wa kuendelea na BMK maana alijua akidi ya znz haitatimia lakini hakutoka kwa kuunga msimamo wa ukawa. Pia kauli zake mara kadhaa zimekuwa kinyume na ukawa, leo anatafuta mbeleko ndo anaona ukawa ya maana...
 
Guys, let's talk about issues and not individuals. Big brains do not waste their time talking about people!!!

Hebu mwacheni Zitto aendelee na mambo yake, acheni kulidhalilisha jukwaa!!!

Umeadimika kama milango ya pikipiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…