mkuu, unamaanisha jamaa ana ngoma?Pungukiwa pesa utapambana kupata,pungukiwa CD4 lazma dish liyumbe
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Mtaa Upi?
Nadhani mtaa wa Ufipa.Mtaa Upi?
mtaani wananchi wanajua lissu kapigwa risasi na serikali full stop
Ipige na ww ricas hiyo serikali iliyompiga huyo uliyemtaja.mtaani wananchi wanajua lissu kapigwa risasi na serikali full stop
utakua ule *WA UFIPA* chief...Mtaa Upi?
Keyboards Warriors tutumie Vidole vyetu vizuri.
Keyboards Warriors tutumie Vidole vyetu vizuri.
Keyboards Warriors tutumie Vidole vyetu vizuri.
Mengi yanamchanganya! Hususan pale anapoona dalili za wasiojulikana kujulikana.
Wewe uko salama?Pungukiwa pesa utapambana kupata,pungukiwa CD4 lazma dish liyumbe
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Bora abaki huko kuliko kukaa bungeni na kuuliza headphones na utamu wa mshedede uliotahiriwaHuyu naye atuambie kwanini kaamua kushinda feshibuku badala ya kuingia bungeni.
Baada ya info kuleak kwamba alipiga goti Magogoni kuomba ashauriwe nani na nani waingie kwenye kamati zake, sasa hivi anabweka kama mad dog. Muda si mrefu anafanya kituko kingine na sintoshangaa kamati yake ya maadili ikimpiga ban Zitto kutongia mjengoni mpaka mwakaniNdungai kama amechanganyikiwa hivi