Zitto: Nimegundua Spika Ndugai ameibua mashtaka yangu ili kufunika ufuatiliaji wa wananchi kuhusu Lissu kupigwa risasi

Huyu naye atuambie kwanini kaamua kushinda feshibuku badala ya kuingia bungeni.
 
Anatafuta kiki tu kutoka kwa wafata mikumbo wanaoisoma namba na wasiojielewa.
Naona wengi kama kawaida yao wameshadandia kuamini aliyoandika..
Hii nchi wengine ni duh!!!
 
mtaani wananchi wanajua lissu kapigwa risasi na serikali full stop

Mtaani wanajua Dereva wa Tundu Lissu kakwepa risasi zote 38 zilizoelekezwa kwenye gari aliyokuwemo na hakupatwa hata na mchubuko wa vipande vya Kioo vilivyo vunjwa
 
Ndungai kama amechanganyikiwa hivi
Baada ya info kuleak kwamba alipiga goti Magogoni kuomba ashauriwe nani na nani waingie kwenye kamati zake, sasa hivi anabweka kama mad dog. Muda si mrefu anafanya kituko kingine na sintoshangaa kamati yake ya maadili ikimpiga ban Zitto kutongia mjengoni mpaka mwakani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom