Zitto: Nimegundua Spika Ndugai ameibua mashtaka yangu ili kufunika ufuatiliaji wa wananchi kuhusu Lissu kupigwa risasi

ndugai ni mbwa......anatekeleza alichoagizwa kukifanya bungeni kwa wapinzani....
HAYA YOTE YANA MWISHO
 
Mtaani wanajua Dereva wa Tundu Lissu kakwepa risasi zote 38 zilizoelekezwa kwenye gari aliyokuwemo na hakupatwa hata na mchubuko wa vipande vya Kioo vilivyo vunjwa
Kwahiyo kama hazikumpata dereva yeye ndo aliyempiga Lissu risasi? Ujinga gani huu? Si heri ukae kimya ufiche upumbavu wako?
 
Kuna mihimili miwili inaendeshwa kwa mabeef ya kishuleshule...eti hutaongea kisa mtu kamkosoa hahahaaa...anankumbusha monitor wangu primary school
 
Back
Top Bottom