Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
hata shetani alikwepo kabla ya Yesu
Akiwemo slaa ambae alikua mbunge wa ccm
Kuku mpuuzi na mwendekeza tumbo lake hula mayai yake mwenyewe na hata paka mshenzi hula mtoto wake baada ya kumzaa kwa hiyo kuchukua kadi zamani kisha matendo yako yakawa ya hovyo dhidi ya umoja wa wenzio hupaswi kuvumiliwa kisa kadi ulichukua mapema!!
Nyerere alileta uhuru kutoka kwa wakoloni baada ya kuacha kufundisha na ajira ya mkoloni kwa hiyo waliokuja baada ya Zitto waweza kuwa bora kuliko uzandiki wake!!
Akiwemo slaa ambae alikua mbunge wa ccm
Wadau wa JF!
Nimefurahishwa na kauli aliyoitoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini mh Zitto. Ya kuwa yeye Zitto alichukua kadi ya chadema akiwa na miaka 16 mwaka 1993 wakati "hao wenye midomo mikubwa wanao ongea sasa walikuwa wamewakumbatia watawala"
hata shetani alikwepo kabla ya Yesu
Akiwemo slaa ambae alikua mbunge wa ccm
Wadau wa JF!
Nimefurahishwa na kauli aliyoitoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini mh Zitto. Ya kuwa yeye Zitto alichukua kadi ya chadema akiwa na miaka 16 mwaka 1993 wakati "hao wenye midomo mikubwa wanao ongea sasa walikuwa wamewakumbatia watawala"
Dr Slaa amewahi kuwa Mbunge wa CCM?Viroba hivi vya asubuhi vinapoteza nguvu kazi nyingi sana za vijana wetu!
Kukufundishar Slaa alichukua form kugombea kupitia CCM mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi na akamshinda Mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake Patrick Qorro kwa kura nyingi kwenye kura za maoni;lkn Kamati Kuu ya CCM chini ya Rais Mwinyi na Ben Mkapa wakalitupa jina la Dr Slaa na kumrudisha Qorro!
Dr Slaa akatangaza kuondoka CCM na ndipo CCM kwa hatari ya kupoteza Jimbo wakamtuma Daniel Ole Njoolay(Balozi wetu Nigeria kwa sasa)kumshawishi Dr Slaa ili asiondoke CCM na wakamuhaidi ubalozi!Dr Slaa akakataa na akaingia CHADEMA na akashinda vipindi 3 mfululizo na kuweka himaya ya Karatu kwa wapinzani!
Historia kama Dr Slaa kawahi kuwa Mbunge kupitia CCM ndiyo mnafundishwa na walimu wa Mulugo?

Tena alikuwa anajiona bora kama huyu huyu Zitto!