Zitto ni mtu makini sana

Zitto ndiyo team captain wa upinzani kwa sasa, ni kiungo mchezeshaji, anahaha uwanja mzima kama Zizzou.
Kudos sana Zitto endelea kupeleka mashambulizi kwenye timu ya Jiwe, kwa mashambulizi haya Jiwe mbona atakaa tu!!
 
Akizingua anapewa kubwa yake na hata yeye anafahamu hilo. Hapa hakuna sifa za kudumu bali tuna maslahi ya kudumu. Slaa alikuwa anasifiwa sana na wapinzani, muambie leo atokee anaongea kama atapewa support ya enzi hizo na wapinzani.
Exactly. Zitto, Tundu Lissu and the rest ni suala LA muda tu kabla hawajawa kama Slaa.
 
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.

Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii iongozwe vizuri. He can check and balance the governance kwa kuhoji.
Zitto usikate tamaa. Nchi ili inyooke lazma checks and balance kutoka kwa watu makini. Hainyooki kwa maamuzi ya mtu mmoja bali ya kitaasisi ili kila jambo zuri liweze kudumu.

Ikumbukwe pia hii ni mara ya kwanza namkubali Zitto na kumsifia baada ya kumfuatilia muda mrefu sana. Vitu vingi niliaminishwa dhidi ya Zitto bila ya mie kuchanganya na zangu. Wengi tumekuwa tunasikia vitu na kurukia kirahisi bila dhana halisi ya "kujifikirisha" na kuamua. JK alisema hatukuwa tunachanganya na zetu.

Nikweli japo nayeye si wakumwamini asilimia mia,dakika yoyote anakutelekeza
 
Hatuangalii Zitto yuko wapi bali anasimamia nini kwa sasa. Kama alipokelewa Lowassa ambaye hajawahi kuwa mpinzani toka dunia hii kuumbwa itakuwa Zitto ambaye hajawahi kumiliki kadi ya ccm? Ni hivi Zitto ndio anaweza kuwa rais bora wa nchi hii. Yeye ataleta maendeleo ya kweli ya watu na sio vitu, na wakati huohuo ataheshimu demokrasia. Yule anayesema hawezi kutii demokrasia ndio alete maendeleo ya mikopo akae pembeni wenye uwezo waongoze. 2020 Zitto ndio mgombea sahihi wa nafasi ya urais kwa tiketi ya upinzani, anamudu midahalo na ana uwezo wa kuongea na kueleweka. Anaijua nchi hii na changamoto zake, anafahamu siasa za dunia. Na ana sifa ya ziada ya kufahamu kiingereza.
Issue kaitetea vema ila wasiwasi unakuja pale anapotuhumiwa kuwa yeye na prof ni.wajamaa kwenye NSSF kitengo kilichokutwa na madudu wakati ZZK akiwa kamati yake imekuwa domo zege ndo wazalendo halisi tunapobaki na doubts nae
 
Well said brother mbona mnajulikana muda wenu wa kufukuzia ikulu wala hamjali ni rejea ya 2015 mlipomfua fisadi papa mliemchafua kwa miaka nane ghafla akageuka hakuwahi kuwa kiongozi wala kufanya kazi nchi ila katokea sayari ya mars,hatushangai kwa zitto kutoka msaliti mpaka malaika kazi mnayo nyani akitaka kufa kila mti anao uparamia unateleza!

Sikuwahi kuunga mkono Lowassa kugombea urais kupitia upinzani,lakini sina shaka na uwezo wa Zitto na hasa kwa ticket ya upinzani. Hata kama hana sifa ya uadilifu sana lakini kama kipimo chake ni Magufuli basi ni msafi na ana uwezo kuliko Magufuli.
 
Exactly. Zitto, Tundu Lissu and the rest ni suala LA muda tu kabla hawajawa kama Slaa.

Hiyo ndio salama ya Magufuli na ccm kwani uwezo wa kushindana na hao watu wakiwa upinzani hawana.
 
QUOTE="Escrowseal1, post: 30012768, member: 264660"]Issue kaitetea vema ila wasiwasi unakuja pale anapotuhumiwa kuwa yeye na prof ni.wajamaa kwenye NSSF kitengo kilichokutwa na madudu wakati ZZK akiwa kamati yake imekuwa domo zege ndo wazalendo halisi tunapobaki na doubts nae[/QUOTE]

Kama magufuli ameweza kuwa rais na kashfa alizonyooshewa kidole, basi Zitto ni malaika kwenye mizani.
 
Sikuwahi kuunga mkono Lowassa kugombea urais kupitia upinzani,lakini sina shaka na uwezo wa Zitto na hasa kwa ticket ya upinzani. Hata kama hana sifa ya uadilifu sana lakini kama kipimo chake ni Magufuli basi ni msafi na ana uwezo kuliko Magufuli.
Wakati ndio utakaoamua!
 
Umetoa mawazo yako na tunayaheshimu pia hayo mawazo na kamwe hautasikia ukitwa ktk kamati ya kinga na maadili ujieleze kwa kutoa kwako mawazo yako
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Wewe! Za kuambiwa changanya na zako. Huo ni uongo, hadi leo hujajua tu kuwa huo ulikua ni uongo?. Hai waliotunga uongo huo leo hii wanajutia kutumika bila kujua.
 
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Hoja zake kwenye hii press conference juu ya Mbwembwe za Ndugai vs CAG umezisikia?
Nini maoni yako?
 
Hatuangalii hayo kwa sasa, kama Slaa kaenda ccm ujue siasa zimebadilika. Ni hivi 2020 Zitto tunampa nafasi ya kugombea urais kwa upinzani. Mdahalo wa kwanza wa amsha amsha wa marais ni kwa kiingereza, asikimbie mtu. Petro alimkana Yesu akasamehewa itakuwa Zitto? Andaeeni SMG za kutosha.

Kwa hiyo Zitto Kawasamehe kwa kumzulia uongo?
 
Kwa hiyo Zitto Kawasamehe kwa kumzulia uongo?

Amamsamehe Nani wakati unamuona anajirudisga kiaina baada ya kujua chama chake hakibambi? Zitto hana ujanja zaidi ya kuitegemea cdm au vipi aende ccm kabisa lakini huko ACT hataboi. Alichofanyiwa wakati ule ni ukweli, JK na Mwigulu ndio walikuwa wanamtumia wakadhani akiondoka cdm itakufa. Lakini kaondoka kajikuta na watu wa kugoma tu, so hana ujanja zaidi ya kupiga Uturn.
 
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.

Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii iongozwe vizuri. He can check and balance the governance kwa kuhoji.
Zitto usikate tamaa. Nchi ili inyooke lazma checks and balance kutoka kwa watu makini. Hainyooki kwa maamuzi ya mtu mmoja bali ya kitaasisi ili kila jambo zuri liweze kudumu.

Ikumbukwe pia hii ni mara ya kwanza namkubali Zitto na kumsifia baada ya kumfuatilia muda mrefu sana. Vitu vingi niliaminishwa dhidi ya Zitto bila ya mie kuchanganya na zangu. Wengi tumekuwa tunasikia vitu na kurukia kirahisi bila dhana halisi ya "kujifikirisha" na kuamua. JK alisema hatukuwa tunachanganya na zetu.

****updates*****
Mwalimu alishawahi kusema....
View attachment 993739

Mkuu huyu mtu ZZK ni MAKINI sanaa.
 
Makamanda wamewekeza mategemeo Yao kwa waliyemfukuza kwa kashfa mbali mbali.

Zito ilimbidi kufungua kesi mahakamani ili kutetea ubunge wake, lakini makamanda hawakujali, waliishia kumkebehi.
 
Amamsamehe Nani wakati unamuona anajirudisga kiaina baada ya kujua chama chake hakibambi? Zitto hana ujanja zaidi ya kuitegemea cdm au vipi aende ccm kabisa lakini huko ACT hataboi. Alichofanyiwa wakati ule ni ukweli, JK na Mwigulu ndio walikuwa wanamtumia wakadhani akiondoka cdm itakufa. Lakini kaondoka kajikuta na watu wa kugoma tu, so hana ujanja zaidi ya kupiga Uturn.
Sasa Mtu Mwenye historia ya kutumika Mie naanzaje kumuamini?
 
Back
Top Bottom