abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
Huyu ndo 'presidential material'Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.
Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii iongozwe vizuri. He can check and balance the governance kwa kuhoji.
Zitto usikate tamaa. Nchi ili inyooke lazma checks and balance kutoka kwa watu makini. Hainyooki kwa maamuzi ya mtu mmoja bali ya kitaasisi ili kila jambo zuri liweze kudumu.
Ikumbukwe pia hii ni mara ya kwanza namkubali Zitto na kumsifia baada ya kumfuatilia muda mrefu sana. Vitu vingi niliaminishwa dhidi ya Zitto bila ya mie kuchanganya na zangu. Wengi tumekuwa tunasikia vitu na kurukia kirahisi bila dhana halisi ya "kujifikirisha" na kuamua. JK alisema hatukuwa tunachanganya na zetu.
😂😂😂😂 Huo wivu sasa. Usiteseke!!Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
Mi huwa naumwa kukuwa na issue nikitegemea hawa wanaojiita waandishi wa habari kuuliza maswali.hivi kuna nini huko? Huwa simkubali sana ZZK ila leo kanikosha maana haya mambo baba wa Taifa aliyapigia kelele sana kuwa tuwe na kizazi cha vijana wanaoweza kuhoji sasa ZZK kiukweli anawakilisha minds za Taifa kiufupi katendea hakia ubunge wakeIla hawa waandishi wana safari ndefu. Anapewa nafasi ya kuuliza swali anauliza kama kesi imesha funguliwa au bado
Duh!!! Yaan ulivyoandika utadhan zzk ni wa enzi za sokoine ama akichelewa Sana tuntemeke.Zitto nimeanza kumsikia nikiwa mdogo,yupo upinzani tangu Enzi hizo..yupo consistent..hongera na keep on fighting zitto!
Unamkubali sana eeh ? Je, utapenda aje kuwa Raisi wako wa miaka michache ijayo ?mtu makini saaaaaaaana,mie namkubali..lol
Aisee siku hizi hata tuu kusoma mkaelewa mada ni shida?Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa
Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010
Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Duh!!! Yaan ulivyoandika utadhan zzk ni wa enzi za sokoine ama akichelewa Sana tuntemeke.
Rebecca we ni mdogo hivi kumbe??