mzalendo na mpenda hakiVip ndo msemaji wa Zitto nini?
i dont understand this guyHa Ha haa! ! ! CCM acheni provocation,tunajenga chama.
Kuna watu wanafikiri mh. Zito kabwe sivyo alivyo, zito kabwe amekulia chadema amepewa nafasi ya kugombea ubunge kupitia chadema amekuwa waziri kivuli wa chdema na umaarufu ameupata kupitia chadema kuota kama mh. Zito atahama chadema ni sawa na kutamani kwenda peponi kisha unaogopa kufa. Zito kabwe is not a cheap politician ni mwanasiasa muelewa mfutatialaji tatizo kuna watu wangependa aachne na mapambano ya kuibana serikali hii inayowaibia wananchi wazwazi kwa ufisadi uliokithiri.
Ha Ha haa! ! ! CCM acheni provocation,tunajenga chama.
Kuna watu wanafikiri mh. Zito kabwe sivyo alivyo, zito kabwe amekulia chadema amepewa nafasi ya kugombea ubunge kupitia chadema amekuwa waziri kivuli wa chdema na umaarufu ameupata kupitia chadema kuota kama mh. Zito atahama chadema ni sawa na kutamani kwenda peponi kisha unaogopa kufa. Zito kabwe is not a cheap politician ni mwanasiasa muelewa mfutatialaji tatizo kuna watu wangependa aachne na mapambano ya kuibana serikali hii inayowaibia wananchi wazwazi kwa ufisadi uliokithiri.
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana hivyohivyo wanamuogopa zitto atakapoingia madarakani atautingisha mfumo kama Jk Kikwete.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa.
Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
Ben asingechangia mjadala unaomuhusu Zitto ningeomba nipigwe Ban la miezi mitatu halafu cha kushangaza Zitto hana time nae wala hutamsikia akimjadili kwa Wema au ubaya Mtandaoni!
i dont understand this guy
Hutakiwi actually,ukinielewa inakua ni ajali tu
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua kuwa Zito ndio jembe pekee linaloweza kupata kura ya urais kama akigombea kwani baada ya sakata lililopo la lwakatare Jina la Dr limeanza kufifia kwa kasi kwani muda si mrefu Ludo ataanza kutoa siri.
Wanachama wengi wa mikoani wanamkubali sana zito kuliko Slaa ambaye anaonekana kukubalika maeneo ya njiro na karatu tu. juzi niliongea na vijana wenzangu pale unga ltd na wengi walionekana kumsifia sana ZZK
mkuu umeongea point zzk ni mtu makini sana baadhi ya watu hawataki kuamini namkubali sana mtu huyu endapo akipata nafasi kugombalia 2015 basi chadema watapata kura yangu tofauti na hapo imekula kwao nakumbuka ufanisi wake wa uchapa kazi ulinivutia mimi kumfata dodoma bungeni kuona live ufanisi wake.naamini siku moja atakuwa rais wa nchi ni mtu makini sana much blesed to zzk
View attachment 87816
Umewahi kumsikia
akisema neno wakati Chadema kinapata mtikisiko? Mawasiliano yake na
Denis Msaky wa gazeti la Mwananchi ambaye sasa yuko kwenye sakata hili
la Lwakatare kila mwenye akili utajihoji maswali mengi na siyo kumpamba
kama anavyofanya mleta mada au pengine inawezekana mleta mada anamsifia
kwa mitikisiko inayotokea Chadema.
Haihitaj jicho la tatu kuona n jins gan zto hayuko mctar mmoja na makamanda wenzake, hasa ukiangalia mambo meng chama kinakabiliwa nayo lakn yuko kmya