Zitto ni kiongozi shupavu

Status
Not open for further replies.
we byembalilwa vp, kwa hiyo kama anamsimamo kwenye mambo ya bado kwako an sifa nzuri, kukivuruga cdm kwako ni maslahi ya wengi, we wa wapi?
 
kama zitto ni zaidi ya kiongozi maana yake nn, au ni pe...pooooooooooooo.
 
Japo Cjaelewa lengo la mleta thred ilaczani kama kuna haja kumfanyia kampeni Zitto kwani anajulikanaTz kote kwahiyo jueni tu kwamba kila mtenda wema atakumbukwa kwa wema so bado anamda wakutosha sana wakutimiza yote atakayo
 
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa.
Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
Zitto endelea kupigania haki yako.
 
ndugu yangu Kalenga-Iringa hao watu mkoani hawaelewi nn anakifanya kwenye chama siku si nyingi watajua kwamba yeye master wa kuvuruga chama pamoja na nchi kwa ujumla.
 

Umenena vema kabisa.
Ninachojua mimi ZZK amepata umaarufu CDM na siyo CDM imepata umaarufu kutoka kwa ZZK.
Kwa hiyo hakuna mtu ambaye ni mkubwa kuliko CDM. Hata huyo ZZK anaweza kuondoka na chama kikafanya vizuri sana tena sana. Mtu amekuwa mchonganishi na king'ang'anizi kama ruba.
 
Zitto unajua nini wanachokupiga nacho ndani ya Chadema wewe ni Mwislamu hakika watakutukana kila aina ya matusi kwa sababu ya dini yako na ukanda wake.
 
Kutoa maoni ni haki yako kikatiba, kazi ya chadema kwa sasa ni kujenga chama, haya njoo nayo 2014..pengine waweza kueleweka..
 
Kuna watu wanafikiri mh. Zito kabwe sivyo alivyo, zito kabwe amekulia chadema amepewa nafasi ya kugombea ubunge kupitia chadema amekuwa waziri kivuli wa chdema na umaarufu ameupata kupitia chadema kuota kama mh. Zito atahama chadema ni sawa na kutamani kwenda peponi kisha unaogopa kufa. Zito kabwe is not a cheap politician ni mwanasiasa muelewa mfutatialaji tatizo kuna watu wangependa aachne na mapambano ya kuibana serikali hii inayowaibia wananchi wazwazi kwa ufisadi uliokithiri.
 
Nina imani na Zito Kabweeee oya oya oyaaaaa....!!!

Zitto nina imani na wewe sana, hizi drama zipungue jamani

CCM wanakaba mpaka penalty !
 


Kila kukicha Zittooo Zitto. Sijui mmetuwa ?? Hii sasa imekuwa kero kama ya maji vijijini. Waswahili si walisema Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza ? Na wengine waliongezea "Debe tupu haliachi kuvuma" Anayefikiria vizuri atafakari
 
Ha Ha haa! ! ! CCM acheni provocation,tunajenga chama.
 
Ha Ha haa! ! !

Ben asingechangia mjadala unaomuhusu Zitto ningeomba nipigwe Ban la miezi mitatu halafu cha kushangaza Zitto hana time nae wala hutamsikia akimjadili kwa Wema au ubaya Mtandaoni!
 
kila kukicha zittooo zitto. Sijui mmetuwa ?? Hii sasa imekuwa kero kama ya maji vijijini. Waswahili si walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza ? Na wengine waliongezea "debe tupu haliachi kuvuma" anayefikiria vizuri atafakari
acha utoto
 

Hawa ni Machadema, mi mwenyewe juzi kati nimetupia mada hapa wameidaka jukwaju wameifuta, Wanadhihirisha kama ni watu hatari. Hawataki kuumbuliwa maasi yao.
Pumbaaaaavu


we mjinga acha.kucheza na akili zetu.!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…