Zitto ni kiongozi shupavu

Status
Not open for further replies.
Napita tu huyu zito huyu asipo kuwa Rais sijui! Ila tusubiri mchakato wa kichama! Ila kwa jinsi nionavyo Kabwe hawezi kushindanishwa na Gamba lolote
 
Slaa na Mbowe ni majembe!. Si ndo mnavyotaka pro-cdm?
 
Ni kweli kwamba ni kiongozi shupavu, na kweli kuwa aliingia bungeni akiwa bado kijana mdogo. Lakini namna mnavyokuja na hizi sifa kemkem wakati huu ambao CCM kwa uroho wa kutaka kuendelea kubaki madarakani na kuisambaratisha kabisa nchi yetu, ndipo watu wenye akili timamu tunaingiwa na mashaka!
Ikumbukwe ya kwamba moja ya mikakati ya CCM kuisambaratisha CDM, ni pamoja na kutengeneza mazingira ya viongozi wa CDM kurumbana na kugombana wao kwa wao ili wapate mteremko 2015.

KWA NINI LEO?
 
Acha ubwege,zitto ni zaid ya hao mabwege wenzako!Hakuna kama ZZK chadema.
 
Akuongoze ww na familia yako! Nani kakuambia tunahitaji rais kwa muda huu? Fanya kazi usije ukafa maskini wanao wakaja kulalamika,
Dah! Kwamawazo haya ukombozi uko mbali saana
 
Pumba tupu, majungu tu yana kusumbua
 

Na wewe unajiona una uwezo wa kujua Dhana zote za Zitto kabwe sio? Kajifunze Egoism Principle ujue sifa kuu ya Wanasiasa waloleta MabadilikoDunian walikuaje? Unamjua Kiongoz wa Tz alojulikana kama Bwana Haambiliki? Uwezo wa Zitto ni wa juu kiasi cha Thiking capacity zenu kuelea elea hewani!
 

Hakuna cheo cha kaimu mkuu wa UWT, unaendeleza upotoshaji na ushabiki wa hoja za kuunga unga uonekane wajua
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
Na bado magamba mtahaha sana kupiga madebe...
 

Hana lolote kuongoza hizo kamati siku zote anabebwa na ccm.Asijidanganye huyo nisawa na mwanafunzi anayepewa majibu wakati wa mitihani then akaitwa kipanga kwa shule ile siku asipopata chali.Zitto akae pekee kwa kutegemea natural feature uone alivyo mwepesi kama jina lake.
 
Zito akunaga , watabana wataachia.kama ipo ipo tu.Ata babu anajua.
 
Zzk we ni jembe katika siasa za tanzania unafaa kumlithi rais kikwete ila sio kupitia cdm labda uhame chama. Otherwise utabakia mpiganaji on the wrong track.
 

Zitto ni mpambanaji lakini ni opportunist na hawezi kuaminika na wenzake kutokana na mwenendo wake katika kundi alilopo.

Ikiwa hawezi kuaminika na wenzake ndani ya kundi lake, sisi wananchi wenzake tutamwani vipi ndani ya nchi yetu hadi kumpa dhamana ya kutuongoza.

Zitto, Jirekebisha, unafaa kuwa kiongozi ukitulia.
 


Una roho ngumu sana rafiki,, humu kumsifia Zitto ni sawa na kuvika bomu,, wwe subiri utaona wakavyokujibu,, utajuta
 
subiri waamke bado wamelala ni mi hangover yao
 
Unamsifia mwanaume mwenzako kiasi hicho! inatia shaka! Mpe basi Kabaang yako....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…