Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
akajifunze urais wa familia yake kwanza,
 

 
Zitto umeiona hii!!?
Jipange upya!! Sio kwamba hufai kuwa raisi NO, bali hujakomaa kiasi cha kuwa Raisi. Zitto acha kulewa misifa utapotea!!
Uraisi unatakiwa uonwe sio ujione kuwa unafaa kuwa Rais!!
Jengeni chama huku Bukoba vijijini hamjaonekana!!
 
Wanajf ebu tupevuke, tutakosa thamani ya kuwa great thinkers, hakuna anayemwonea wivu zito, so what ila huu ndo ukweli, zito analewa sifa, kiongozi wa watu hajioni anafaa ila huonekana anafaa na kuambiwa afanye nini. Zito you have lost my brother naomba ufuate ushauri wa huyu mwandishi na wanajf tuache ulimbukeni tuseme ukweli na si kushambuliana kwa matusi ila tujadili hoja, tukiwa hivi jf haitakuwa tofauti na Facebook.
 
Mimi siyo mwana usalama kama wewe nitapata wapi nafasi ya kuongea na rais?

Mkuu kweli wewe upo kwenye ligi ya kubisha na kutetea,swali kwako-je jk tangu awe raisi ameongea na wana usalama tu??!! (kip in mind that he has been a good friend of Zito na pia alishamshauri agombee uraisi),na je Zito naye pia ni miongoni mwa wanausalama??
Hivi leo hii kwa wafuatiliaji wa siasa wakisema kwamba Zitoanaihujumu CDM kwani kwa kuwa amekuwa anakuja na mada za kujipambanua yeye anasitahili zaidi na ni bora zaidi katika timing ambayo sio muafaka itakuwa watu wamekosea ??
 

Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
 
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Achana na hao wakorea mkuu! Hao hawana demokrasia, Zitto angejenga chama kwanza, kiingie kwenye utawala, apate uwaziri harafu hatua kwa hatua atajikuta keshawin kila kona!! Sasa ni mapema mno! sawa, anayo haki ya kufanya hivyo kwakuwa katiba tutaichakachua muda si mrefu!!.
 
Kweli Zitto kiboko. Anawanyima watu usingizi. Zitto ana haki ya kutoa maoni yake kama wengine.
 
Chee-le
Haya uliyopaste Hapo yameibwA HAPA JF, TAZAMA POST ZA MAJI YA MTUNGI na wengine
 

Mwono wako unaonyesha wazi ni chuki au wivu........sijui umempima huyu Zito kwa kutumia vipimo gani?.....kama kuungombania urais basi ni haki yake ya Kikatiba.......mbona Nyerere alipochukua nchi alikuwa na umri mdogo na alikuwa hajakomaa kisiasa na aliwza kuongoza nchi hii kwa muda mrefu tu.
 

Mkuu wangu salute!
Na ndicho nimekuwa nikipigia kelele hapa kwamba kukimbilia Ikulu ni sifa moja ya kuwa disqualified! Nilibahatika kushuhudia mapokezi ya Dr Slaa alipowasili Arumeru.Hakika magazeti hayakukosea kusema alilakiwa kama mfalme.Yalikuwa ni mapokezi makubwa kuwahi kushuhudiwa jimboni Arumeru tangu Uhuru kama wazee wa kule wanavyosema.Njia yote Slaa alitwaa Rais.....Rais....Sasa nikajiuliza ni lini Slaa amejitangaza Rais au ni lini Slaa ameropoka nataka kugombea urais 2015? Kwa hiyo nawaambia wale waroho wa madaraka kwamba Urais unakuja wenyewe na wala hauji kwa mbinu chafu na ovu za kuwachafua watu wengine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…