Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,360
Hatimaye sasa nimejiridhisha pasipo na shaka ni kwa nini zitto Kabwe ni swahiba mkubwa wa Deputy Director wa Usalama wa Taifa ndugu Jacky Nzoka, Zitto aje hapa kuuelezea umma wa JF ni sababu zipi za msingi zilizokuwa zinamfanya awe na mawasiliano ya mara kwa mara wakati chama chake kiko katika uchaguzi mkuu na Idara ya usalama wa Taifa ndiyo ilikuwa inaihujumu CHADEMA? hapa sitalajii jibu rahisi kwa swali gumu.
Pili Ben Saanane nimekuwa nikifuatilia mabandiko yako kwa makini sana na kuna kipindi nilidhani huwa unaonewa, kumbe nilikuwa najidanganya, humu jamvini umejipambanuwa kwamba wewe ndio unayejuwa siasa na yeyote ambaye atakuwa kinyume na mtazamo wako basi wewe utambatiza kila aina ya jina mara mnafki mara hivi mara vile, kumbe sasa nimejiridhisha ni kweli chama chako kiliposema huna maadili hakuna walipokuwa wamekosea, kwa nini unatetea Alliance ndani ya chama? narudia kukwambia tena jifunze kwa John Mnyika, yule kijana anaaminika machoni pa watu kwa sababu he is humbled,......jiulize ni kwa nini kijana mmoja Mnyika alundikiwe vyeo na nyinyi wasomi mpo? endelea na Alliance. zako.
Mkuu heshima ni kitu cha bure kama huna cha kuchangia ni heri ukae pembeni, by the way nimemuuliza swali Zitto kama wewe una kiherehere chakujibia watu maswali jibu na swali la Zitto.JJ Mnyika ni mroho wa madaraka na ana alliance na wenye chama, na kujikombakomba kwa chairman
Ndio maana amelundikia midaraka kama vile vijana wengine hawawezi lol..
total *****.
Slaa cant be our longer presidentia candidate.
Yeye anapaswa kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee la chama.
Uhuru duniani kote ulidaiwa na vijana. He is too late.
Alikuwa wapi siku zote na huo ujembe wake?.
Mkuu heshima ni kitu cha bure kama huna cha kuchangia ni heri ukae pembeni, by the way nimemuuliza swali Zitto kama wewe una kiherehere chakujibia watu maswali jibu na swali la Zitto.
I have already Ignore you Ben Saanane Secretary!!........Kama unakereka na majibu you can just ignore mkuu..
Hii ni open forum, kila mtu na haki ya kujibu sina muda wa kusubiri..wakati najua una mahaba mbuzi kwa JJ mnyika ambaye amebeba kazi ya vijana saba kwasababu ya uroho wa madaraka, na kujikombakomba kwa chairman lol..
I have already Ignore you Ben Saanane Secretary!!........
Kwa akili zako ukwaju nadhani utasema hata Emanuel Okwi au Boban wanafaa kuwa marais.Wakuu tuwe tu wakweli. Hivi ukifika hapa kayika ile theory ya Manslow ya Hierarchy of needs unakuwa umebakisha nini?
Kwa akili zako ukwaju nadhani utasema hata Emanuel Okwi au Boban wanafaa kuwa marais.
Ni ukweli Urais siyo haki ya raia wote na ndio maana Zitto Kabwe hana sifa za kuomba Urais, sasa hiyo haki ya raia wote inatoka wapi hapo? .........Kama George Weah au hutaki? Kila mtu anaweza akawa Rais kaytika nchi yake ili mradi tu ametimiza matakwa ya katiba. Hukumbuki kwamba Weah alimtoa kamasi Mama Serleaf? Emmanuel Okwi anaweza akwa Rais huko kwao na Bonban anaweza kuwa Rais hapa kama atatimiza matakwa ya Katiba ubaya uko wapi?
Mkuu nadhani wewe ni miongoni mwa watu ambao wanadhani Urais ni wa kikundi fulani na wala siyo haki ya Raia wote wanaotimiza matakwa ya Kikatiba.
Ni ukweli Urais siyo haki ya raia wote na ndio maana Zitto Kabwe hana sifa za kuomba Urais, sasa hiyo haki ya raia wote inatoka wapi hapo? .........
Najuwa yote haya yamesababishwa na JK ndio maana kila mtu sasa anadhani urais ni taasisi ya kuamiwa yeyote yule!...sintoshangaa hata nikisikia Wema Sepetu naye anautaka Urais!!
..sasa Zitto anatangaza vipi nia ya kuutaka Uraisi wakati katiba haimruhusu?
..hata wale ambao katiba inawaruhusu, mmemsikia kuwasikia wakiutangazia umma kabla ya mchakato wa vyama kutafuta wagombea haujaanza?
..Jakaya Kikwete aliyeusaka Uraisi kwa miaka zaidi ya 10 hakutangaza nia mpaka pale chama chake kilipopuliza kipenga kuanzisha mchakato wa kumpata mgombea Uraisi.
..There was no need kwa Zitto kuanza kutoa matamka haya. Katiba hairumhusu, na Chadema hajaanzisha mchakato wa kumtafuta mgombea Uraisi 2015.
Mkuu CCM wana utaratibu wa kidikteta kama CUF ambao ukitangaza mapema nafasi za wateule unaondolewa kwenye chama, JK alifahamu miiko hiyo..
Sidhani kama hiyo miiko iko chadema kama ndio, basi wamfukuze Zitto once and for all
Ni ukweli Urais siyo haki ya raia wote na ndio maana Zitto Kabwe hana sifa za kuomba Urais, sasa hiyo haki ya raia wote inatoka wapi hapo? .........
Najuwa yote haya yamesababishwa na JK ndio maana kila mtu sasa anadhani urais ni taasisi ya kuamiwa yeyote yule!...sintoshangaa hata nikisikia Wema Sepetu naye anautaka Urais!!
..sasa Zitto anatangaza vipi nia ya kuutaka Uraisi wakati katiba haimruhusu?
..hata wale ambao katiba inawaruhusu, mmemsikia kuwasikia wakiutangazia umma kabla ya mchakato wa vyama kutafuta wagombea haujaanza?
..Jakaya Kikwete aliyeusaka Uraisi kwa miaka zaidi ya 10 hakutangaza nia mpaka pale chama chake kilipopuliza kipenga kuanzisha mchakato wa kumpata mgombea Uraisi.
..There was no need kwa Zitto kuanza kutoa matamka haya. Katiba hairumhusu, na Chadema hajaanzisha mchakato wa kumtafuta mgombea Uraisi 2015.
Mahaba yako kwa Zitto Kabwe ndiyo yanayokutia upofu, mpaka dakika hii ninavyotype comment hii, Zitto hana sifa za kuwa mgombea Urais wa nchi hii, achilia mbali Urais wenyewe.......Mkuu Matola mbona leo unakengeuka kiasi hicho? Yaani Urais ni kama Ufalme wa Uingereza kwamba ni kwa watu maalumu tu? Yaani kwa kuwa Zitto ameonyesha nia na kwa kuwa wewe humtaki basi umepoteza hata busara na maono ya kawaida tu kufikia kiasi cha kutamka kwamba Urais wa Tanzania siyo haki ya kila mtu anayetimiza matakwa ya kikatiba? Naona tangazo la Zitto limekuchanganya. Mkuu pumzika ili ukiamka uwe umejikusanya vyema.