Zitto ndani ya kumekucha ITV

Zitto ana upeo mkubwa sana.....anaongea fact tupu...god bless him.
 
There are currently 72 users browsing this thread. (18 members and 54 guests)

...............
,................
Dr.W.Slaa,
...............
.................\
............. Dr.W.Slaa karibu jamvini, longtime hatujakuona jamvini. ikiwezekana ikiwezekane upate mda siku 1 uulizwe maswali na JF members kupitia dada yetu AshaDii
 

NDUGU is Common Factor kwa Watanzania wote, kwani NDUGU inasimamia UTU.

Na UTU hauna dini, tabaka, itikadi, Ukubwa, Udogo, Ukanda, Rangi ya ngozi, ukabila, jinsia etc ..simply common factor kwa Mtanzania anayetambua kuwa UTU ni UMOJA, UHURU, UTANZANIA NA NI UZALEMDO!!
Zitto lisimamie vizuri hili and Walk its MEANING, there is a Positive and Massive Psychological Power on This!!!
 
Last edited by a moderator:
zitto is mysterious..leo ni shujaa kesho anajambisha
 
AMUOMBE PIA BW JANGILI AWE KAMPENI MENEJA WAKE KT HARAKATI ZA KUGOMBEA URAISI KUPITIA CHADEMA KWAN KINANA NI MENEJA MZUR WA KAMPENi

Kinana ni mpangaji mzuri wa kuchakachua wizi wa kura na sio meneja mzuri wa kampeni
 
ccm ya leo nitofauti na ile ya mwalimu NYERERE VIONGOZI WASASA NI TAKE IT BEFORE 5 YEARS
 
ukitaka kujua we ni mwehu pima mawazo yako juu ya CCM naukiona we ni shabiki wake kimbilia MIREMBE
 
Kwa nini hamuungi katibu Mkuu CDM na ziara yake DSM???
 
Ndugu Zitto, kaswali kangu kadogo kweli kwa sasa, hivi mkuu hao jamaa walioweka fedha kwenye mabank ya swiss, kutokana na hekaheka unazowapa hawawezi kuziamisha ama kutumia kivingine ama kwa kununua vitega uchumi ama ata kutoa sadaka? ama kuna njia yoyote ambayo serikali imefanya kuzizuia wasipewe,? nia yetu ni kuzipata sasa kama hekaheka ndiyo zimepamba moto na wao ruksa kufanya watakavyo na mapesa yao, uoni ndugu yangu kuwa tutawajuwa tu ni wakina nani lakini hatutopata kitu? Hongera sana mkuu kwa kujitoa kutumikia umma!
 
Kipindi kilikuwa cha kizalendo sana, Hongera mdogo wangu Zitto kwa ukomavu.
 
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM ni umaskini naujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwakwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…