Zitto ndani ya kumekucha ITV

mimi binafsi sioni uhusiano wa karibu kati ya watu kuitwa waheshimiwa na suala la ufisadi.[this means coefficient of correlation is equal to zero].
kuna uhusiano wa karibu sana.kitu chochote kile huanza na imani na kisha utendaji.ndo maana hata nyrere alisema ujamaa ni imani.kwa hiyo mtu ukishajenga imani kuwa wewqe ni bora zaidi ya wenzako ni tatizo
 
Zitto anatumika na JK ndiyo maaana kila siku anamsifu JK huku watanzania wengi wakimuona JK kilaza.tOO MUCH agenda zisizo na majibu.Mara kashirikiana na MEMBE kumhujumu Lowassa yaani full usanii.YANA MWISHO hata Lamwai alikuwahivyo leo kapotea .just wait and see
 
Niliishangaa sana ripoti ya Ngwilizi iliyosomwa na Spika Makinda Bungeni, kumbe hata wabunge nao hawakuiona, nadhani hata kamati ya maadili haikujadiliwa kule ile ripoti.
Hizi kanuni za bunge zinatakiwa pia kuangaliwa upya Spika hawezi kuwa na maamuzi katika suala zito kama lile, angeiweka wazi wabunge wakaijadili na maamuzi yangefuatia, hata kama wabunge wangepatikana na hatia wangewajibishwa tu.

Kazi ya spika ibaki "Wanaosema ndio nafikiri wameshinda" sio katika kutoa maamuzi ya tume iliyobeba tuhuma za wabunge kuhongwa ili kupitisha bajeti ya nishati na madini
 
Haya ndio maoni yangu pia, ila tunamkumbusha tu Zitto alisema atawataja wenye fedha Uswisi ila nashangaa tena leo akiimiza Serikali itafute majina. huu ni usanii.
 
Watu wanapenda kuitwa Waheshimiwa ili kutukuzwa. Ukisha mtukuza mtu,.................tafakari....!
 
Mkuu Mtoi
waziri wako kakupa majibu? Nakusubiri nielemike

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi nilisikia na south africa hela zimefichwa,iliishia wapi ile kashfa,anajua?
 
ni kweli kabisa uheshimiwa huleta matabaka,na baada ya matabaka kuna wale wasio waheshimiwa kuwaabudu waliowaheshimiwa!mkihafikia hatua hii,wasio waheshimiwa watafanya hata mabaya ili mradi kuwaridhisha waheshimiwa,ndio vibaraka wao wanaanza kazi.sasa wale ambao hawako tayari kuwa vibaraka,watakuwa tabaka jingine,matokeo yake matabaka yanajengeka waziwazi!
Na mimi na muunga mkono Kinana uheshimiwa ni njia moja wapo ya kutengeneza matabaka ndani ya jamii.
 

Nashukuru sana Ndungu Zitto, binafsi nilikuwa na wasiwasi nawe ila mahojiano ya juzi yamenifanya nikuelewe vizuri sana na najua yapo mengi zaidi ya kujifunza kwako. Siyo vibaya kama CCM wataiga kutoka hazina kubwa ya CHADEMA
 
Ametamka mwenyewe leo asubuhi kupitia ITV-Kumekucha kuwa hivi karibuni atakuwa Uswiss kuendelea na uchunguzi wa 'mihela' yetu iliyofichwa na mafisadi wa chama changu cha CCM na Serikali yake. Akadai kuwa atakutana na Wapelelezi wanaomsaidia kwenye suala hilo.

Sasa Zitto anatumwa na nani huko? Atafanikiwa? Hebu tujadiliane kwa kujenga
 

Mtoi! kujadili majina wakati hela zetu zinawanufaisha wazungu na wezi haina maana. Zito=Kinana . Kitu muhimu ni zito kutuambia chama chake kimechukua hatua gani juu ya hizo hela tokae wapate taaarifa. Chadema wanashiriki kuwalea mafisadi kama ilivyo kwa CCM. Tunalala na wezi na bado wanakutana dodoma kujadili maendeleo ya nchi. Ujinga mtupu!
 

apeleke hoja binafsi bungeni kuondoa neno mheshimwa kama walivyokutana na kukubaliana kutumia neno hilo.

Mbona Wakati wanaanza kulitumia hawakuja kwetu kulalamika?
 
Kweli kazi ipo na Zitto anajitaidi kupanga mikakati yake lakini sioni kama "ndugu" na "mheshimiwa" kuwa ni chanzo cha kulimbikiza mali, ishu hapa ni ubinafsi wetu na kupenda kutumia ujinga wa walio wengi kwa manufaa ya wachache, watu hatujui haki na taratibu, hebu fikiria kama polisi wa barabarani unapogongana na mwenzako anakuja na kuwaambia malizaneni wenyewe au niwapeleke polisi wakati wote mmekata bima za magari yenu, ni tatizo zaidi ya hayo majina hapo Zitto
 

Zitto katumwa na Wazito akaangalie kama wana fedha nzito.
 
raisi wa tanzania ajaye anapaswa kuwa zito, kwani siku zote amekuwa mtetezi wa wanyonge
 

Mtoi! kujadili majina wakati hela zetu zinawanufaisha wazungu na wezi.Cha muhimu ni zito kutuambia chama chake kimechukua hatua gani juu ya hizo hela toka wapate taaarifa. Chadema wanashiriki kuwalea mafidi kama ilivyo lwa CCM. Tunalala na wezi na bado wanakutana dodoma kujadili maendeleo ya nchi. Ujinga mtupu!
 

kwa nini wao viongozi waheshimiwe lakini wao wasituheshimu wananchi? Neno mheshimiwa lina maana moja tu mtu anayetakiwa kuheshimiwa ni kiongozi. Kila binadamu anasitahiri heshima ya utu wake.

Neno Mheshimiwa linamuweka kiongozi (mtawala) mbali na wananchi.
 

umenikumbusha mbali Lamwai.
 
CCM ni chama la ku'copy na ku'paste joti huwa anawaumbua vilaza wa kukopi na kupesti...
M4C imepata vilaza CUF sijui wao wanaitaje, CCM ndo bado wanacheki namna ya kui'copy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…