Masaa machache yaliyopita kamanda Zitto ka tweet ujumbe huu...
Zittokabwe: Naingia kambini 835KJ. Kwaherini kwa muda kidogo hapa twitani. Nawatakia ndugu zetu wa
#Kenya uchaguzi wa amani kesho na wachague
#Change
Binafsi namtakia Zitto kila la kheri, atoke kambini akiwa amewiva zaidi.
#AmiriJeshiMkuu