Utakuwa umechanganya habari.Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)
Utakuwa umechanganya habari.
Ilikua ni hiari, kwa wale ambao hawakupata fursa ya kuhudhuria, walipewa nafasi ya kujiandikisha ili waweze kuhudhuria mafunzo hayo
Anayezungumziwa sio mwana CCM, tafadhali bwana.sijachanganya, namaanisha nilichoandika
Ongeza na zao la muhogo, nafikiri ni zaidi ya km 15, nilikuwa pale '93835KJ ni Mgambo JKT . Kilometa kama 15 kutoka Kabuku njia kuu ya Tanga, Arusha na Dar na zaidi ya maili 9 hivi
Wakulima wazuri wa mahindi na Machungwa wenye zaidi ya hekta 300 kila zao
Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)