Madrid atashinda tu. Sasa nani madrid na nani Tukuyu mkuu?
Kuhusu kauli ya Lipumba juu ya vyama vyote vya upinzani kuitisha maandamano Zitto ameunga mkono pamoja na kusema Tanzania kwanza Chadema baadaye kama ilivyo katika katiba yao. Mjadala umeisha wakuu asanteni kwa kufuatilia hii thread.