Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
- Thread starter
-
- #101
Hata kama hana uwezo mmezidi sana mdomo kiasi kwamba sasa mnachosha. Ni sawa na mtu alolewa pombe anaongea hovyo usiku kucha.
Na nawaambieni kabisa kwamba Zitto akijiondoa rasmi Chadema na kuingia ACT, moto wa kisiasa utaripuka na utaona jinsi Chadema itakavyosambaratika maana sasa imefikia kuwa Chadema ina watu wake wanaoaminika - Chama cha Mpira, mnachosha sana hata kuwasikiliza!
Ahahaha! Labda kwa sababu anajua uchaguzi huu unaopo watamalizana wenyewe.Amefukuzwa ili tuone huo mlipuko na CDM ife,atoe hata kesho kama ye ni kichwa na kuilipua cdm anasubiri nini
CHADEMA ikishinda uchaguzi wa mitaa mwezi wa kumi kwa asilimia 30,nitahama Tz
Hapo kwenye red,mkuu unata huyo Zitto wako aingie ACT mara ngapi mbona ndiye MM na muasisi wa ACT hulijui hilo,impact yake hapo ndipo ilipoishia,unaambiwa samaki nguvu yake ni pale kwenye dimbwi la maji akishatolewa nje kwisha kazi yake,isitoshe sidhani kama Zitto alishafikia umaarufu wa Kaburou.Hata kama hana uwezo mmezidi sana mdomo kiasi kwamba sasa mnachosha. Ni sawa na mtu alolewa pombe anaongea hovyo usiku kucha.
Na nawaambieni kabisa kwamba Zitto akijiondoa rasmi Chadema na kuingia ACT, moto wa kisiasa utaripuka na utaona jinsi Chadema itakavyosambaratika maana sasa imefikia kuwa Chadema ina watu wake wanaoaminika - Chama cha Mpira, mnachosha sana hata kuwasikiliza!
Zitto tupu kichwani,kweli hayawani,
Akili zipo kwapani,Zito punguani,
Sura kama nyani,haso na aibu usoni,
Zito toka chamani,cdm mfukuzeni
Zito cdm hatufai,kama mavi chooni,
Sasa chadema bai,we kwako jalalani,
Sura kama kalai,afadhali hata nyani,
chadema hutufai,msaliti ewe mfitini,
Fuata akina stela,binti mwampumbu,
Mwezio Yule taila,cdm sio mbumbu,
Zito tena ----,cdm usitujazie mbu,
Zito hufai kanisani,hufai ata msikitini
Na malenga wenu. MANGUNGO
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Umejikanyaga wee lakini mwishoe unasema kama ZITTO anataka kuendelea kuwa CDM atoe sababu. Hii tafsiri yake nini? ZITTO hamumuwezi
... Mimi Zito Namkubali Sana, Ingawa Ana Mapungufu Kama Binadamu Yeyote Tu
Kamanda mbona umesahau mazito zaidi aliyoyafanya na anayoendelea huyu kiumbe??
Ahahaha! Labda kwa sababu anajua uchaguzi huu unaopo watamalizana wenyewe.
Umejikanyaga wee lakini mwishoe unasema kama ZITTO anataka kuendelea kuwa CDM atoe sababu. Hii tafsiri yake nini? ZITTO hamumuwezi