Ngoja nikanunue ungo!.. Pumba na mchele ni 50 - fifty.zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi
Na hawa wakoloni mgongoni mwa slaaaa wanasubiri nini kama si kutupiga mnada?? Wao wana kwao watuachie nchi yetu
Unajua chuki, majungu na unafiki vimekujaa hadi hueleweki unachokisema. Tulia wewe.
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.
Acheni kuchonganisha watu! Waacheni CDM wenyewe waseme kuhusu Zitto! Kuna vikao halali vya kusema hivyo. Kamati kuu wenyewe hawajasema kukosekana kwa Zitto, na inawezekana kabisa aliwapa baraka akisema I agree and Support whatever you decide!
tatizo tumezoea kutoa shutma na lawama bila ya kuwa na taarifa sahihi.
Mi Nachojiuliza, kila siku zito jamani, why?
Kuna nini ambacho sikielewi?
Zitto is just a puppet ndani ya Chadema. hakuna mtu makini yeyote anayemuwaza Zitto.
Swali la kuuliza ni je, katika mkutano wa kamati kuu Godbless Lema anakaa meza kuu kama nani?
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.
Kwa kuongezea yupo Colombo pamoja na spika wa bunge na ujumbe mwingine wa Tanzania
Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo unaongozwa na Mhe. Spika ambaye pia ataongoza wabunge wengine kutoka tawi la CPA Tanzania ambo ni Mhe. Ziito Kabwe, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mhe. Beatriace Shelukindo, Mhe. Hamad Rashid Mohamad na Mhe. Muhonga Ruhanya ambapo jumla ya mada 9 zinatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa katika mkutano huo
Tunashukuru kwa taarifa.
huko Kolombo ameenda kabla au baada ya mikutano ya vuguvugu la mageuzi ilyofanyika Morogoro?

zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi