Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ZITTO ZUBER KABWE na mb wa kigoma kasikazini siku za hivi amekuwa akinukuliwa akisema anataka kuwa mgombea urais kupitia chadema huku hali ya chama hajui ikoje.Zito ni mlaku wa madaraka yaan kazi ya kujenga chama amewaachia kina Mbowe,Slaa,Lissu,Lema,Mnyika,Mdee na wengineo lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida anakuja na kusema ana sifa za urais. Hili halikubaliki kwani wenye maamuzi ya kumpa kura ni HALMASHAURI KUU YA CHAMA NA siyo vyombo vya habari na baadhi ya watu wanaodhani zitto anakubalika!