Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua nchi yangu ananufaika vipi na mikataba inayoingia na wawekezaji. N apengine kwa kujijua tungeweza kuiboresha ili kuleta tija zaidi. Lakini kama mikataba inafichwafichwa namna hii basi ni dhahiri tunaendeleza hasara ambazo tumezipata kwenye mikataba ya madini. Nadhani tunaowataalam wengi nami nikiwepo, kama mikataba ya kitaifa ingekuwa ni public document basi kila mmoja angekuwa anajua ni kiasi gani tunapata. Nakama tunakosa / tunapata hasara kwasababu ya vipingele vya mikataba basi vingerekebishwa kwa mikataba mingine. Kuna nini nyuma ya kuficha mikataba kama si uovu uliopitishwa ama kwa makusudi baada ya kupata mlungula ili mambo yaende na hivyo kutusababishia hasara ya mapato kama nchi. Kama kila kitu kiko sawa kuna uoga gani wa kuiweka wazi. "Eti mpaka tupate ridhaa ya wawekezaji" Hiyo kweli ni akili, kama ulionakipengele hicho ulishindwa nini kukiondoa au kukikataaa kabla ya kusign huo mkataba. Ilitakiwa wajiulize kuna nini cha kufichaficha. Kwanini??? Kuna mambo mengi ya kujiuliza, hata mengine ni aibu kutamkwa na hao tunaowahita wasomi na wanasheria. Eti nao waliridhia!!! Pengine serikali imepunjwa mapato, baada ya hao wawakilishi kupewa mlingula na kuandaa mkatana wa hovyo. Au wameweka loop holes za kwemwezesha mwekezaji kukweka mapato baada ya kukatiwa chao na wao kukubaliana na vipengele vya kijinga. Ni ujinga kukumbatia mtu mpumbavu hata yeye atakuona ni mpumbavu hata kama hakwambiii.
Namna Nchi inavyofaidika na mikataba husika ni kwa njia ya Kodi, namna ingine zimeandikwa kwenye sheria ya nishati na madini na sera ya uwekezaji katika sekta hiyo.
Kila Siku J.J Mnyika anazungumzia swala la sera ya Mafuta na Gas kupelekwa Bungeni Kujadiliwa, ni hapo ndio wananchi tunapaswa kushiriki.
Ni kwenye sheria na sera ndio tunapaswa kuwa makini na kuishauri serikali sio wakati wa kuingia mikataba, watu wanaong'ang'ana na mikataba ni wala rushwa tu, na kutafuta sifa za kijinga.
Ni kweli kwenye utoaji wa haki za uwekezaji katika sekta ya Mafuta, Gas na Madini KUNA RUSHWA, LAKINI NI RUSHWA AMBAYO HATA KAMA ISINGETOLEWA SIO KWAMBA INGEINGIA SERIKALINI.
Kuna Maamuzi fulani hivi yanayotegemea Mtu mwenye mamlaka ya japo kushauri tu,anatumia busara, hisia na uelewa wake binafsi kufanya maamuzi, ndio maana serikalini kuna wasomi wa kila namna, wanategemewa kutumia usomi wao katika wakati huo.
Sasa hapo ndio wanapewa TIP, Na sio kwamba eti kuna fee ilitakiwa kulipwa, mtu apewe rushwa ili fee isilipwe, Kila kitu kinachotakiwa kufanywa katika utaratibu fulani kinafanywa lakini on top of that, ili mtu asicheleweshe mambo au basi tu ampendelee fulani, ANAPEWA RUSHWA, Ama sivyo mwisho wa siku hata asingepewa Rushwa angesign tu.
Narudia, NI RUSHWA AMBAZO ZIKITOLEWA AMA ZISIPOTOLEWA HAKUNA KITU SERIKALI YETU INAPOTEZA, Unless kama kuna makosa mengine ya kiufundi yamefanyika wakati wa mchakato wa kutiliana mkataba.
SASA KELELE ZOOOOTE ZA WATU AINA YA
Zitto ni Kupata mgao, ndio maana akina Maswi huwa wanakatukana ka
Zitto sababu kanataka kula kwenye dili ambazo hakahusiki, kanataka na kenyewe kapewe u consultant kapige hela.