Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zikiwemo Kamati zake mbalimbali za Kudumu, linaongozwa na Katiba, Sheria na Kanuni za Kudumu za Bunge hilo. Kila jambo Bungeni husimamiwa na sheria tajwa. Hivi karibuni, kumetokea sintofahamu kati ya Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Mashirika na Taasisi za Umma (PAC) na viongozi wa TPDC.
Iliripotiwa kuwa viongzi husika waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka mbalimbali mbele ya Kamati hiyo. Ikaripotwa tena kuwa kufuatia kukaidi kwa viongozi hao kuwasilisha nyaraka,walikamatwa na polisi na baadaye kuachiwa baada ya kuhojiwa.
Bunge linapewa nguvu kupitia Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge ya 1988 iliyofanyiwa Marekebisho mwaka 2004 kupitia Sheria Nambari 3 ya 2004. Binafsi nimevutiwa na kifungu cha 17(2) cha Sheria tajwa ya 1988 ambacho hakikuguswa na marekebisho ya 2004. Sakata la viongozi wa TPDC linahusiana nacho.Kifungu kinasomeka hivi:
17 (2) Where any person ordered to attend or to give evidence or produce any document before any committee refuses to answer any question that
may be put to him or to produce any such document on the ground that. the same is of aprivate nature and does not affect the subject of inquiry,
the chairman of the committee may report such refusal to the Speaker with the reasons therefor; and the Speaker may thereupon excuse the
answering of such question or the production thereof.
Ni wazi, kama ilivyoripotiwa kuwa viongozi wa TPDC waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka.Pili, kwa maneno au matendo hawakuwasilish na hivyo kuonekana wamekataa. Mwenyekiti wa PAC angeweza kuripoti kwa Spika wa Bunge akiainisha sababu za kuripoti kwake na mwisho mwishoni Spika angeweza kusamehe kutolewa kwa nyaraka hizo.Yaani, Spika angeweza kulazimsha au kusamehe uwasilishwaji wa nyaraka husika.Hapo nimetafsiri kifungu cha hapo juu pamoja na kilichoripotiwa.
Hivyobasi, PAC haina na haikuwa na mamlaka ya kuwakamata au kusababisha kukamatwa kwa viongozi wa TPDC. Kama ilifanyika kinyume na utaratibu uliowekwa na Sheria, PAC iliteleza.
hivi zitto ni yule msaliti au?
ZITTO anawanyima usingizi wasaka tonge!! Ndio maana bila kumtaja rear opening zenu haziishi kuwawasha!!!
Bahati mbaya sana ile incidence ya jana, na mada husika ni juu ya Zitto. Zinatafutwa sababu kutoka kila mahala za kukafanya ka Zitto kaonekane ni kamtu fulani hivi constructive, Patriotic and committed to Key Issues with National interests.
kulinganisha na UKAWA.
Hii imebackfire, inaitwa boomerang effect.
Inakula kwake sasa.
Maigizo hayaishi Tanzania aiseee
kumbe unazijua sifa za zitto??
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zikiwemo Kamati zake mbalimbali za Kudumu, linaongozwa na Katiba, Sheria na Kanuni za Kudumu za Bunge hilo. Kila jambo Bungeni husimamiwa na sheria tajwa. Hivi karibuni, kumetokea sintofahamu kati ya Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Mashirika na Taasisi za Umma (PAC) na viongozi wa TPDC.
Iliripotiwa kuwa viongzi husika waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka mbalimbali mbele ya Kamati hiyo. Ikaripotwa tena kuwa kufuatia kukaidi kwa viongozi hao kuwasilisha nyaraka,walikamatwa na polisi na baadaye kuachiwa baada ya kuhojiwa.
Bunge linapewa nguvu kupitia Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge ya 1988 iliyofanyiwa Marekebisho mwaka 2004 kupitia Sheria Nambari 3 ya 2004. Binafsi nimevutiwa na kifungu cha 17(2) cha Sheria tajwa ya 1988 ambacho hakikuguswa na marekebisho ya 2004. Sakata la viongozi wa TPDC linahusiana nacho.Kifungu kinasomeka hivi:
17 (2) Where any person ordered to attend or to give evidence or produce any document before any committee refuses to answer any question that
may be put to him or to produce any such document on the ground that. the same is of aprivate nature and does not affect the subject of inquiry,
the chairman of the committee may report such refusal to the Speaker with the reasons therefor; and the Speaker may thereupon excuse the
answering of such question or the production thereof.
Ni wazi, kama ilivyoripotiwa kuwa viongozi wa TPDC waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka.Pili, kwa maneno au matendo hawakuwasilish na hivyo kuonekana wamekataa. Mwenyekiti wa PAC angeweza kuripoti kwa Spika wa Bunge akiainisha sababu za kuripoti kwake na mwisho mwishoni Spika angeweza kusamehe kutolewa kwa nyaraka hizo.Yaani, Spika angeweza kulazimsha au kusamehe uwasilishwaji wa nyaraka husika.Hapo nimetafsiri kifungu cha hapo juu pamoja na kilichoripotiwa.
Hivyobasi, PAC haina na haikuwa na mamlaka ya kuwakamata au kusababisha kukamatwa kwa viongozi wa TPDC. Kama ilifanyika kinyume na utaratibu uliowekwa na Sheria, PAC iliteleza.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zikiwemo Kamati zake mbalimbali za Kudumu, linaongozwa na Katiba, Sheria na Kanuni za Kudumu za Bunge hilo. Kila jambo Bungeni husimamiwa na sheria tajwa. Hivi karibuni, kumetokea sintofahamu kati ya Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Mashirika na Taasisi za Umma (PAC) na viongozi wa TPDC.
Iliripotiwa kuwa viongzi husika waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka mbalimbali mbele ya Kamati hiyo. Ikaripotwa tena kuwa kufuatia kukaidi kwa viongozi hao kuwasilisha nyaraka,walikamatwa na polisi na baadaye kuachiwa baada ya kuhojiwa.
Bunge linapewa nguvu kupitia Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge ya 1988 iliyofanyiwa Marekebisho mwaka 2004 kupitia Sheria Nambari 3 ya 2004. Binafsi nimevutiwa na kifungu cha 17(2) cha Sheria tajwa ya 1988 ambacho hakikuguswa na marekebisho ya 2004. Sakata la viongozi wa TPDC linahusiana nacho.Kifungu kinasomeka hivi:
17 (2) Where any person ordered to attend or to give evidence or produce any document before any committee refuses to answer any question that
may be put to him or to produce any such document on the ground that. the same is of aprivate nature and does not affect the subject of inquiry,
the chairman of the committee may report such refusal to the Speaker with the reasons therefor; and the Speaker may thereupon excuse the
answering of such question or the production thereof.
Ni wazi, kama ilivyoripotiwa kuwa viongozi wa TPDC waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka.Pili, kwa maneno au matendo hawakuwasilish na hivyo kuonekana wamekataa. Mwenyekiti wa PAC angeweza kuripoti kwa Spika wa Bunge akiainisha sababu za kuripoti kwake na mwisho mwishoni Spika angeweza kusamehe kutolewa kwa nyaraka hizo.Yaani, Spika angeweza kulazimsha au kusamehe uwasilishwaji wa nyaraka husika.Hapo nimetafsiri kifungu cha hapo juu pamoja na kilichoripotiwa.
Hivyobasi, PAC haina na haikuwa na mamlaka ya kuwakamata au kusababisha kukamatwa kwa viongozi wa TPDC. Kama ilifanyika kinyume na utaratibu uliowekwa na Sheria, PAC iliteleza.
Bwana Mselewa, hemu nipe ushauri wa Kisheria.
Kwa sababu Bwana Zitto na Kamati yake wanafahamika kwa kuwa na uelewa na uzoefu mkubwa wa sheria husika, na taratibu za kisheria za kushughurikia incidence iliyojitokeza jana.
Bila kujali sababu zingine ambazo zinaweza kuwa zimesababisha waka neglect taratibu hizo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
Hakuna uwezekano wa wale jamaa wawili kukapeleka ka Zitto Mahakamani kwa kosa la kuwadharirisha?
Toa M.A.V.I yako haya, unaandika uji.nga, pa.nya kabisaa wewe huna uchungu na nchi yako na utakuwa umetumwa. M.Bwa kabisa..
Hilo nalo neno.
Kubaliana na bw.Zumbemkuu kwa huu nao ni usanii wa kumwinua Zitto lakini waona mbali wameshtukia mcezo. Haya ni maigizo kama ya fire kuwaambia watu ndege imeanguka uwanjani na kwa sasa inawaka moto na kuleta taharuki bure kwa wananchi. Kama yeye Zitto anaelewa makamu m/kiti wa tanesco na mwenyekiti wa bodi wana viongozi wa juu kama waziri na mwanasheria mkuu wa serikali kwa nini asilalamike kwao au kutaka maelezo yao kuhusu sheria? Hivi yeye haelewi mikataba inafungwa na vufungu kuhusu kuitoa hiyo mikataba hadharani na kinyume chake ni kwenda kinyume? Sasa huko polisi zaidi ya kuandika maelezo ambayo naamini wameeleza hayo hayo waliyomweleza Zitto hawakuambiwa warudi makwao? Hata huo usanii ukiendelezwa kwa kuwapeleka mahakamani wanategemea matokeo yapi? Kwa hili hatudanganyiki. Na tegemeeni usanii zaidi kwani hamkuyasikia majibu aliyopewa Kafulila leo kuhusu bunge kujadili escraw account. Na mnategemea tume huru ya bunge iundwe? Na hata hizo taarifa za mkaguzi mkuu na ya Hosea mnategemea zionyeshe kuna hela ya serikali imepotea?
Hana hizo sifa, kama angekuwa nazo wasingeziweka kwenye waraka wa siri kwamba ziwe propagated kama sifa sahihi za mwenyekiti.
Chema chajitangaza.
Na ukitaka kujua kwamba ni kilaza.
Hizo mikataba hato zipewa kwa style aliyotumia, labda achukue hizi zinazoletwa na BAK hapa.
Mi nae naandika utadhani alikuwa anataka mikataba kweli.
Mpango ulikuwa high level alafu bahati mbaya (kama kawaida ya watu wasio makini) some key people were not involved, ndo maana walipofika polisi ikashindwa kueleweka wafanye nao nini?
Sababu nasikia hawakuwekewa wala kujiwekea dhamana sasa mwanangu hapa ananiuliza inamaana walitoroka polisi, na anasisitiza si wamefanya kosa kubwa zaidi kulitoroka Jeshi la Polisi.
watoto wa siku hizi bwana.
Alafu hii mikataba si BAK huwa anaiweka kila siku hapa, au ka Zitto kamefunga kabisa account yake ya JF.