Zitto na PAC yake waliteleza?

Zitto na PAC yake waliteleza?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zikiwemo Kamati zake mbalimbali za Kudumu, linaongozwa na Katiba, Sheria na Kanuni za Kudumu za Bunge hilo. Kila jambo Bungeni husimamiwa na sheria tajwa. Hivi karibuni, kumetokea sintofahamu kati ya Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Mashirika na Taasisi za Umma (PAC) na viongozi wa TPDC.

Iliripotiwa kuwa viongzi husika waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka mbalimbali mbele ya Kamati hiyo. Ikaripotwa tena kuwa kufuatia kukaidi kwa viongozi hao kuwasilisha nyaraka,walikamatwa na polisi na baadaye kuachiwa baada ya kuhojiwa.

Bunge linapewa nguvu kupitia Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge ya 1988 iliyofanyiwa Marekebisho mwaka 2004 kupitia Sheria Nambari 3 ya 2004. Binafsi nimevutiwa na kifungu cha 17(2) cha Sheria tajwa ya 1988 ambacho hakikuguswa na marekebisho ya 2004. Sakata la viongozi wa TPDC linahusiana nacho.Kifungu kinasomeka hivi:

17 (2) Where any person ordered to attend or to give evidence or produce any document before any committee refuses to answer any question that

may be put to him or to produce any such document on the ground that. the same is of aprivate nature and does not affect the subject of inquiry,

the chairman of the committee may report such refusal to the Speaker with the reasons therefor; and the Speaker may thereupon excuse the

answering of such question or the production thereof.

Ni wazi, kama ilivyoripotiwa kuwa viongozi wa TPDC waliagizwa na Kamati ya Zitto kuwasilisha nyaraka.Pili, kwa maneno au matendo hawakuwasilish na hivyo kuonekana wamekataa. Mwenyekiti wa PAC angeweza kuripoti kwa Spika wa Bunge akiainisha sababu za kuripoti kwake na mwisho mwishoni Spika angeweza kusamehe kutolewa kwa nyaraka hizo.Yaani, Spika angeweza kulazimsha au kusamehe uwasilishwaji wa nyaraka husika.Hapo nimetafsiri kifungu cha hapo juu pamoja na kilichoripotiwa.

Hivyobasi, PAC haina na haikuwa na mamlaka ya kuwakamata au kusababisha kukamatwa kwa viongozi wa TPDC. Kama ilifanyika kinyume na utaratibu uliowekwa na Sheria, PAC iliteleza.

Hata kama wameteleza kwangu ni sawa. Kwa kiburi na ukaidi wa watendaji wa serikali ni bora tu mtu uzivuke taratibu kuwakomesha wapuuzi wanaolinyonya taifa. Mtu mikataba ni ya rasilimali za nchi sio document za ndoa zao kwanini hawataki wawakilishi wetu sie wenye nchi wazione? Ni nini wanaficha kwenye hiyo mikataba? Wameshazoea kutumia uzoefu wao kwenye mapungufu ya hizi sheria kutufunga midomo. Hii ndo dawa yao.
 
mkuu unadhani wale waliokamatwa jana wana shida ya kutoa hiyo mikataba, shida ni wizara na IKULU, hao ndio hawataki iwekwe wazi yule mwenyekiti alisema kabisa wameomba muongozo kutoka wizarani ni miezi 2 imepita hawajapewa jibu unataka wafanye nini, JOHN MNYIKA ameomba mikataba ya madini tangu 2011 mpaka leo hajapata, kuna madudu mengi sana hawataki wananchi wayajue
 
Wao ndio wamepewa dhamana ya kuhandle masuala hayo kwasababu ya uweledi wao na sio kwaajili ya sura zao. Sisi pamoja na taratibu zetu tunawatambua wao kama wenye mamlaka ya mwisho juu ya mikataba hiyo, kama wanahitaji approval toka sehemu nyingine hiyo sio juu yetu bali ni juu yao. Hivyo, hatua za kinidhamu ni juu yao.
 
Bwana Mselewa, hemu nipe ushauri wa Kisheria.

Kwa sababu Bwana Zitto na Kamati yake wanafahamika kwa kuwa na uelewa na uzoefu mkubwa wa sheria husika, na taratibu za kisheria za kushughurikia incidence iliyojitokeza jana.

Bila kujali sababu zingine ambazo zinaweza kuwa zimesababisha waka neglect taratibu hizo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Hakuna uwezekano wa wale jamaa wawili kukapeleka ka Zitto Mahakamani kwa kosa la kuwadharirisha?
 
bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania, zikiwemo kamati zake mbalimbali za kudumu, linaongozwa na katiba, sheria na kanuni za kudumu za bunge hilo. Kila jambo bungeni husimamiwa na sheria tajwa. Hivi karibuni, kumetokea sintofahamu kati ya kamati ya kudumu ya hesabu za mashirika na taasisi za umma (pac) na viongozi wa tpdc.

Iiripotiwa kuwa viongzi husika waliagizwa na kamati ya zitto kuwasilisha nyaraka mbalimbali mbele ya kamati hiyo. Ikaripotwa tena kuwa kufuatia kukaidi kwa viongozi hao kuwasilisha nyaraka,walikamatwa na polisi na baadaye kuachiwa baada ya kuhojiwa.

Bunge linapewa nguvu kupitia sheria ya kinga, madaraka na haki za bunge ya 1988 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2004 kupitia sheria nambari 3 ya 2004. Binafsi nimevutiwa na kifungu cha 17(2) cha sheria tajwa ya 1988 ambacho hakikuguswa na marekebisho ya 2004. Sakata la viongozi wa tpdc linahusiana nacho.kifungu kinasomeka hivi:

17 (2) where any person ordered to attend or to give evidence or produce any document before any committee refuses to answer any question that

may be put to him or to produce any such document on the ground that. The same is of aprivate nature and does not affect the subject of inquiry,

the chairman of the committee may report such refusal to the speaker with the reasons therefor; and the speaker may thereupon excuse the

answering of such question or the production thereof.

Ni wazi, kama ilivyoripotiwa kuwa viongozi wa tpdc waliagizwa na kamati ya zitto kuwasilisha nyaraka.pili, kwa maneno au matendo hawakuwasilish na hivyo kuonekana wamekataa. Mwenyekiti wa pac angeweza kuripoti kwa spika wa bunge akiainisha sababu za kuripoti kwake na mwisho mwishoni spika angeweza kusamehe kutolewa kwa nyaraka hizo.yaani, spika angeweza kulazimsha au kusamehe uwasilishwaji wa nyaraka husika.hapo nimetafsiri kifungu cha hapo juu pamoja na kilichoripotiwa.

Hivyobasi, pac haina na haikuwa na mamlaka ya kuwakamata au kusababisha kukamatwa kwa viongozi wa tpdc. Kama ilifanyika kinyume na utaratibu uliowekwa na sheria, pac iliteleza.

mimi nilishangaa sana yaani unamkamata mtu aliyeteuliwa na mkuu wakati all the instruction anazipata kutoka juu
 
Bwana Mselewa, hemu nipe ushauri wa Kisheria.

Kwa sababu Bwana Zitto na Kamati yake wanafahamika kwa kuwa na uelewa na uzoefu mkubwa wa sheria husika, na taratibu za kisheria za kushughurikia incidence iliyojitokeza jana.

Bila kujali sababu zingine ambazo zinaweza kuwa zimesababisha waka neglect taratibu hizo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Hakuna uwezekano wa wale jamaa wawili kukapeleka ka Zitto Mahakamani kwa kosa la kuwadharirisha?

Ingawa sijui hasa nini kilitokea hadi kukamatwa kwao,lakini kama kuna makosa yamefanyika basi mashtaka yaweza kuibuka. Hatahivyo, mashtaka yatapambana na kinga za kisheria kwa wabunge
 
Hizi Kinga hizi.

Hivi Katiba ya warioba iliziondoa?

Mbona Madiwani hawana Kinga, ni upuuzi tu huu.

Mbona Vyenyewe vibunge vinakimbilia mahakamani vikifurumushwa kutoka kwenye vyama vyao bwana.
 
Bwana Mselewa, hemu nipe ushauri wa Kisheria.

Kwa sababu Bwana Zitto na Kamati yake wanafahamika kwa kuwa na uelewa na uzoefu mkubwa wa sheria husika, na taratibu za kisheria za kushughurikia incidence iliyojitokeza jana.

Bila kujali sababu zingine ambazo zinaweza kuwa zimesababisha waka neglect taratibu hizo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Hakuna uwezekano wa wale jamaa wawili kukapeleka ka Zitto Mahakamani kwa kosa la kuwadharirisha?
kwanza inaonyesha kila dalili kuwa wale jamaa waliandaliwa kiaina kabisa kwamba watapelekwa polisi then wataachiwa, inaonyesha huo mpango uliandaliwa mahsusi tangu awali ili kuanza kuliinua jina la msaliti juu, bahati mbaya halijainuka,
 
Hilo nalo neno.
 
Mpango ulikuwa high level alafu bahati mbaya (kama kawaida ya watu wasio makini) some key people were not involved, ndo maana walipofika polisi ikashindwa kueleweka wafanye nao nini?

Sababu nasikia hawakuwekewa wala kujiwekea dhamana sasa mwanangu hapa ananiuliza inamaana walitoroka polisi, na anasisitiza si wamefanya kosa kubwa zaidi kulitoroka Jeshi la Polisi.

watoto wa siku hizi bwana.

Alafu hii mikataba si BAK huwa anaiweka kila siku hapa, au ka Zitto kamefunga kabisa account yake ya JF.
 
Last edited by a moderator:
Kama huna cha kuchangia kaa kimya, badala ya kuogelea mada unaongelea watu. hii ni mada nyeti

Bahati mbaya sana ile incidence ya jana, na mada husika ni juu ya Zitto. Zinatafutwa sababu kutoka kila mahala za kukafanya ka Zitto kaonekane ni kamtu fulani hivi constructive, Patriotic and committed to Key Issues with National interests.

kulinganisha na UKAWA.

Hii imebackfire, inaitwa boomerang effect.

Inakula kwake sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama wameteleza kwangu ni sawa. Kwa kiburi na ukaidi wa watendaji wa serikali ni bora tu mtu uzivuke taratibu kuwakomesha wapuuzi wanaolinyonya taifa. Mtu mikataba ni ya rasilimali za nchi sio document za ndoa zao kwanini hawataki wawakilishi wetu sie wenye nchi wazione? Ni nini wanaficha kwenye hiyo mikataba? Wameshazoea kutumia uzoefu wao kwenye mapungufu ya hizi sheria kutufunga midomo. Hii ndo dawa yao.
Ndo maana sheria zipo ili kutuongeza. Haiwezi kuwa sawa kukiuka sheria kwa ajili yoyote ile.
 
Mpango ulikuwa high level alafu bahati mbaya (kama kawaida ya watu wasio makini) some key people were not involved, ndo maana walipofika polisi ikashindwa kueleweka wafanye nao nini?

Sababu nasikia hawakuwekewa wala kujiwekea dhamana sasa mwanangu hapa ananiuliza inamaana walitoroka polisi, na anasisitiza si wamefanya kosa kubwa zaidi kulitoroka Jeshi la Polisi.

watoto wa siku hizi bwana.

Alafu hii mikataba si BAK huwa anaiweka kila siku hapa, au ka Zitto kamefunga kabisa account yake ya JF.
wapwa zangu pitieni huku nako kuna msosi kidogo, Elli , MANI , Chakaza , BAK
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom