Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz.

Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015?

View attachment 3462609Je Mbowe na Zitto ni wanamtandao au sio?
Zito tokea zamani huchukua pesa huko aliwahi kuwa chawa wa MO kwa kipindi kirefu na Mbowe ni Dalali wa Siasa na mtesi wa Lisu kwa msaada toka kwa Rostam Aziz ambaye ni mwizi mwandamizi wa Rasilimali za Nchi
 
Rostam ni mwizi hatari alipaswa awe jela mda huu cha ajabu yeye ndiyo kampeleka Lisu jela
 
Back
Top Bottom