The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,230
- 116,846
Siku hizi ukimsikia Zitto anazungumza unabaki unajiuliza..
is this real?
Nimemsikia akisema atagombea Urais wa TFF
nikabaki na maswali tele...Urais wa TFF ndo shida kuu ya watanzania kwa sasa?
Nilifikiri ukiwa kiongozi wa kisiasa kwanza kabisa unakuwa busy na
mambo makuu yanayo wasumbua wananchi kwa kipindi hiko
sidhani Urais wa TFF inaangukia huko
Sasa mara nikasikia Rais kamteua Kitila Mkumbo..
ajabu ilikuwa kwa Zitto kuunga mkono teuzi hiyo
Sasa leo Mwenyekiti wa ACT anaenda kuwa mkuu wa mkoa..
imagine that....
Sijui na hili Zitto utatuambiaje?
Utaunga mkono ni sahihi pia na jambo jema?