Zitto na kwa hili utatuambiaje?

Zitto na kwa hili utatuambiaje?

Nchi hii ni ya watanzania wote kila anayepata nafasi ya kuwatumikia watanzania ni wajibu wake kuwatumikia watanzania na si kuwakatisha tamaa kwa maneno yasiyo na tija eti ni mpinzani. Ni mawazo ni mgando tena finyu na kukosa uwezo wa kutafakari kwa kiina hasa maendeleo ya watanzania. Hongera sana Mh. Anna Mghwira.
 
Siku hizi ukimsikia Zitto anazungumza unabaki unajiuliza..
is this real?
Nimemsikia akisema atagombea Urais wa TFF
nikabaki na maswali tele...Urais wa TFF ndo shida kuu ya watanzania kwa sasa?

Nilifikiri ukiwa kiongozi wa kisiasa kwanza kabisa unakuwa busy na
mambo makuu yanayo wasumbua wananchi kwa kipindi hiko
sidhani Urais wa TFF inaangukia huko

Sasa mara nikasikia Rais kamteua Kitila Mkumbo..
ajabu ilikuwa kwa Zitto kuunga mkono teuzi hiyo

Sasa leo Mwenyekiti wa ACT anaenda kuwa mkuu wa mkoa..
imagine that....

Sijui na hili Zitto utatuambiaje?

Utaunga mkono ni sahihi pia na jambo jema?
Alishaunga mkono kitambo, kumbuka kabla ya kutangazwa uteuzi hufanyika wiki mbili kabla ya tangazo(vetting) n.k, hivyo kwenye chama walishaongea mkuu.
 
Vyama vya Tanzania kama ACT, kweli uchaguzi mzima, nchi nzima unapata kura 98,763= 0.65% halafu useme nina chama cha siasa! Acha ajiendee CCM angalau ameambulia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aje huku TFF achezee mitusi ya watu wa mpira .huku nkiboa ni mitusi tu
 
Tangu awali kwangu ACT ni chama chenye vyeo "tatanishi"kina mwenyekiti na Kiongozi Mkuu wa Chama!
 
Ni rahisi kumhukumu Zitto lakini hatujui taifa lipo kwenye hatua ipi inayohitaji umoja kushinda vita vya uchumi ....kama kuna vitu vingi vya msingi unakubaliana na serikali iliyo madarakani ....kwanini usiungane nayo kuleta mapinduzi ya kiuchumi? ....kwani mwisho lengo la siasa si ustawi wa Tanzania?
 
Darasa lazima liwe na mlopokaji,kiherehee,mrembo,mjinga,sasa act std one yuko peke yake.
 
Mama kawatumikie wananchi siasa mpaka 2020 na kuwa upinzani kwamba wewe sio mtz mpaka ususie nafasi ya kutumikia wananchi,, usisikilize watu..
 
Kwake muhimu ni cheo cha uraisi,hivyo anaweza kugombea hata uraisi wa msondo maana cdm walimtosa.
 
Ujira wa ACT kutumika dhidi ya upinzani halisi ndo huu mnauona sasa. Wanalipwa vyeo kwa kazi walioifanya kuwasaliti wenzao. Next, Zitto atapewa offer ya cheo na yeye. Halafu hapo ndo ACT itakuwa imekufa kabisaaaa. CUF Bara tayari imeshawekwa mfukoni, kupitia Lipumba.

Sasa ninaamini Zitto na ACT yake ni nyumba ndogo tu ya CCM. Na zile tuhuma za usaliti dhidi ya Chadema, sina shaka tena kuwa zilikuwa za kweli 100%.
Wenzao wapi?yaani CDM ni mwenzake na ACT?Huo ujinga utakuwa unakunywa mbege
 
Siku hizi ukimsikia Zitto anazungumza unabaki unajiuliza..
is this real?
Nimemsikia akisema atagombea Urais wa TFF
nikabaki na maswali tele...Urais wa TFF ndo shida kuu ya watanzania kwa sasa?

Nilifikiri ukiwa kiongozi wa kisiasa kwanza kabisa unakuwa busy na
mambo makuu yanayo wasumbua wananchi kwa kipindi hiko
sidhani Urais wa TFF inaangukia huko

Sasa mara nikasikia Rais kamteua Kitila Mkumbo..
ajabu ilikuwa kwa Zitto kuunga mkono teuzi hiyo

Sasa leo Mwenyekiti wa ACT anaenda kuwa mkuu wa mkoa..
imagine that....

Sijui na hili Zitto utatuambiaje?

Utaunga mkono ni sahihi pia na jambo jema?
Amesha unga mkono na kukisifia chama chake kuwa ni gogo la ubani na kuwaporomishea maneno wanao ibeza hatua hiyo kuwa ni manyumbu
 
Jakaya kumkata Lowassa na hatimaye Lowassa kuhamia Chadema kuliyeyusha Ndoto nyingi sana za Kijana Zitto lakin ndio Siasa
Kwani alikuwa na ndoto zipi hizo against Lowasa?
 
Boss labda(labda) kaona TFF kuna matatizo anataka kuyatatua pia. Au matatizo ya mpira umeya exclude kwenye matatizo ya Tanzania?

ACT, kwa teuzi hizi 2020 tutegemee kumsapoti jamaa kwa vyovyote vile.
Alianza na 2015
 
The Boss, is it true kuwa Mghira ni Mwenyekiti wa ACT au ni gheresha ya Zito! Zito ni nani? if you are a good follower of siasa za hapa, of recent Mghira alitoweka kabisa katika siasa za ACT!
Tuanzungumza kwa documents zilizopo kwa msajili wa vyama vya siasa
 
Back
Top Bottom