Zitto: Mwaka jana tuliingiza zaidi ya dola mil 500 kwenye korosho ila mwaka huu ni aibu kubwa mno

Sasa source si ndiyo chanzo mkuu? Chanzo chako ni cha kuaminika kwa kiasi gani? Kwa hiyo wewe hapa ukiulizwa source utasema ni Zitto, huko alikozitoa hizo data una uhakika gani kama ni sehemu reliable? Hizo graphs source yake ni nani? Wewe umeprove kwa kuingia kwenye chanzo chake? Just simple questions to awaken your sixth sense
Mkuu, mbona ameweka? Ndio maana nikauliza kama ni kudhani sosi ya ugali. Hiyo chart imeonyesha imetolewa na nani; TRA na BoT

1552393706599.png
 
Hayo ndio matokeo ya kuchagua shetani eti atupeleke peponi.

Kila kilichoonesha matumaini ya kumkomboa mtanzania kutoka katika umasikini, wanakivuruga kwa nguvu zote.

- Mbaazi

- Korosho

- Kahawa

- Mkonge
Binafsi ninaamini huyu mtu anayo agenda ya Siri ya moyoni mwake ya kuhakikisha Wananchi wa nchi hii wanakuwa maskini kuliko umaskini wenyewe!!!
 
Zitto hata simwelewagi, yeye ndie aliyesema korosho zimekosa soko yaani zimedorora akasema tuanzishe kampeni kula korosho ongeza nguvu za kiume, sasa yuleyule anasema mapato yameshuka, sasa kama soko hakuna mapato yatatoka wapi?
 
Mkuu, mbona ameweka? Ndio maana nikauliza kama ni kudhani sosi ya ugali. Hiyo chart imeonyesha imetolewa na nani; TRA na BoT

View attachment 1043907
Sasa unaamini kwamba imetolewa na TRA na BoT kwa kuona tu hayo maneno hapo chini? Kwani mimi siwezi kutengeneza chart na kuandika imetolewa na ikulu ya Marekani? Hoja hapa ilikuwa ni nani anayeweza kuthibitisha kwamba kweli TRA na Bot Ndiyo waliyoitoa? Njia nyepesi, weka link.
 
I say, wewe Tomaso kweli. Kuna vitu vingine inabidi uvipe tu benefit of the doubt, lasivyo utajikuta unajiuliza kama wewe ni mtoto wa baba yako kweli!
 
I say, wewe Tomaso kweli. Kuna vitu vingine inabidi uvipe tu benefit of the doubt, lasivyo utajikuta unajiuliza kama wewe ni mtoto wa baba yako kweli!

Mkuu kuna kitu inaitwa beyond reasonable doubt! Sasa kama ukihoji mambo ya msingi unaonekana Tomaso, acha niwe Tomaso. Huwezi sema maneno ya kwenye picha ndiyo source yako halafu ukataka tukuamini wakati katika dunia ya sasa ya teknolojia, hakuna kisichowezekana.
 
Mkuu utakuwa na tatizo la kisaikolojia cynic. Sasa mtu akikupa chart ambayo ina source, kwa nini utilie shaka? Halafu mtu mwenyewe Zitto?
 
Kwa sababu Zitto ni malaika ambaye hawezi kukosea? SMH! Chart ndiyo source?
Hapana, Zitto sio malaika. Na chart sio source. Labda tuseme huelewi maana ya kuandika "Source" chini ya chart. Ni mambo ya elimu ya juu hayo. Unapoandika source kwenye chart ni kwamba hizo data zimetolewa na TRA na BOT, siyo kwamba source ni hiyo chart. Na sioni mtu kama Zitto kutoa picha inayoonyesha data zimetoka BOT na TRA akijua anadanganya. Sio katika awamu hii ya tano
 
Ewaaa! naona tunaongea lugha moja sasa, point yangu ilikuwa hivi, hao TRA na BoT si wanazo website zao wanakopost habari zinazowahusu? Je, ni Zitto pekee ndiyo mwenye access ya kuona hicho kilichopostiwa? Kama siyo, ili kutusaidia na sisi mangumbaru, weka link ya alikotoa hiyo chart, simple like that.
 
:D:D:D:D MKuu sikuwezi. Mie bwana ninaamini alicho post, kwa kuwa amesema source ni TRA na BOT. Unajua nikitaka kupewa uhakikisho wa kila ninachoambiwa maisha yangu yatakuwa magumu sana!
 
Ahsante mkuu kwa kunipa ushindi wa mezani :D:D:D
Bado Mkuu, bado hatujamaliza! Angalia hii link Zitto ametoa hii riport hapa. Ni monthly economic review ya BOT ya February 2019, yaani ukiangalia data za export kwa mwaka hadi January 2019. Ila jambo la kutia maanani ni kwamba korosho bado ziko ghalani, kwa hiyo hiyo chart inaweza kubadilika katika miezi mitatu ijayo, kwa kuwa tunaenda kwa mwaka kila mwezi, na unajumlisha data za mwezi uliopita, na kuachia ule wa kwanza ili kupata data za miezi 12 iliyopita

https://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER_FEB_2019_APPROVED.pdf
 
Bado Mkuu, bado hatujamaliza! Angalia hii link Zitto ametoa hii riport hapa. Ni monthly economic review ya BOT ya February 2019, yaani ukiangalia data za export kwa mwaka hadi January 2019. Ila jambo la kutia maanani ni kwamba korosho bado ziko ghalani, kwa hiyo hiyo chart inaweza kubadilika katika miezi mitatu ijayo, kwa kuwa tunaenda kwa mwaka kila mwezi, na unajumlisha data za mwzi uliopita, na kuachia ule wa kwanza ili kupata data za miezi 12 iliyopita

https://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER_FEB_2019_APPROVED.pdf
Hiki ndicho hasa nilichokuwa nakihitaji Mkuu, shukrani kwako. Baada ya kuisoma na kuielewa ndiyo nitakuwa na cha kusema. Nashauri hii link iwekwe pale juu kabisa kwenye bandiko ili kutii kiu za wengi.
 
Back
Top Bottom