Zitto: Mwaka jana tuliingiza zaidi ya dola mil 500 kwenye korosho ila mwaka huu ni aibu kubwa mno

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
#Zitto_Kabwe Ameandika;

Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue.

Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu.

Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho.
FB_IMG_1552384640358.jpg
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,149
2,000
Kwetu sisi wakulima wa korosho tunakuelewa mh zzk na tunaendelea kuthamini mchango wako wa kutupigania na mungu daima atakupigania
#Zitto_Kabwe Ameandika;

Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue. Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu. Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho. View attachment 1043811

In God we trust
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,149
2,000
Hatuwezi kujenga Uchumi wetu kwa Vitisho na Maneno.
Nimesikia kwa sasa wameanza kuwapigia magoti wanunuzi hasa wahindi na wavietinam na sasa nao tayari washaenda west Afrika kununua new crop na kunazalishwa mwaka huu tani 800 000.

In God we trust
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,607
2,000
#Zitto_Kabwe Ameandika;

Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue. Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu. Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho. View attachment 1043811
Hayo ndio matokeo ya kuchagua shetani eti atupeleke peponi.

Kila kilichoonesha matumaini ya kumkomboa mtanzania kutoka katika umasikini, wanakivuruga kwa nguvu zote.

- Mbaazi

- Korosho

- Kahawa

- Mkonge
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,841
2,000
jana niliona kwenye habar EATV ati wakulima wa korosho huko kusini wanapongeza serikali kununua korosho bila kukatwa. nawajua wakulima wengi hawajalipwa mpaka leo waliolipwa ni wenye kilo chini ya 2000kg.
alijidai anakagua mashamba kamaliza bado anadanganya watu na kelele zake.
INGEKUWA NCHI NYINGINE SIO TANZANIA HILI LA KOROSHO LINGETOSHA KUMTOA MADARAKANI
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,102
2,000
Magufuli yeye ndiye Mkandarasi,Mwalimu,Doctor,Mfanyabiasha,TRA,Mwanasheria Mkuu wa serikali, Mchumi na kibaya zaidi Yeye ndiye mshauri mkuu wa kila jambo....

Ukifeli Uchumi unafeli kila kitu maana unaitaji pesa ili ufanikishe vyote.....

Jifanye tu wewe ni kila kitu hata siku ukiugua na kuzidiwa sisi tutakusubiri uamke utwambie tukupeleke hospitali gani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom