Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Mi simtaji ili aendelee kutumia hiyo ID!Comments zake huwa nacheka balaa!
Ila ana tatizo la "r" na "L" kwenye uandishi wake!We mfuatilie utamnyaka tu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Atapata tabu sanaaaaaaa
 
Ana hoja!!!Zakaria alitakwa kutekwa kwa style hiyo hiyo,akawasha moto!Ndio ikawa ponapona yake maana wale jamaa ilibidi wajitambulishe kuwa ni usalama!
 
Mnapanga njama za kumteka, huku mkidai kuwa anajitengenezea sinema ya kutekwa??

Huyo hamumuwezi, kwao kaaga, mkijaribu tu mtarudi makwenu vichwa chini!
Alishawahi kusaka kiki ya kutekwa kule Kigoma ikabuma usidhani hatukumbuki
 
ukisikia papasa kichwa jusi kafiri....nisafishe mtaro ndio hii
 
Tola atakula konokono au Ndo skuiz nayo dawa
 
Ana hoja!!!Zakaria alitakwa kutekwa kwa style hiyo hiyo,akawasha moto!Ndio ikawa ponapona yake maana wale jamaa ilibidi wajitambulishe kuwa ni usalama!

Unafahamu alipo Zakaria Hans Pope?

Na uwezo wa kuwasha moto lakini umri umemtupa na vijana wana uwezo wa kuzima moto huo kwa kasi ya ajabu.

Ila bado ipo heshima kwa Zakaria.

Zitto hana hoja yoyote zaidi ya kutafuta kisa cha ndege mjanja alienasa kwenye tundu bovu.
 
Ana hoja!!!Zakaria alitakwa kutekwa kwa style hiyo hiyo,akawasha moto!Ndio ikawa ponapona yake maana wale jamaa ilibidi wajitambulishe kuwa ni usalama!
Huyo jamaa inaonekana aliwawashia moto wasiojulikana mpaka ikabidi wajitambulishe...
Na mpaka leo ana kesi mahakamani
 
Yahani na wewe kumbe ni tabula lasa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…