Aliyeturoga alishakufa aliondoa mshipa fulani wa ubongo.2.Kulipa deni la taifa ni moja kati ya matumizi ya maendeleo,ina facilitate uwezo wa kupata mikopo.
Hapo kwenye nyekundu unajipaisha pasipo sababu!
Back to the topic....
Ninaunga hoja hii serikali ni ya kitapeli, imecheza na takwimu kupiga rangi uwongo
Bajeti tegemezi tena yenye madeni makubwa.
Kifupi uchumi wa nchi unazidi kudidimia na umasikini kuongezeka. Siwezi shangaa Tanzania Ikawa ni nchi masikini zaidi dunia kwa mwaka ujao wa fedha.
Haya makosa ya makusudi kwenye bajeti yanaweza kuleta historia mpya kabisa nchini! Ni mtikisiko mkubwa! Hapa ndio watamjua Zitto na wana cdm vizuri.mtikisiko mkubwa huudah! Hawa magamba ni noma hadi kwenye vitu vya msingi wanaleta usanii!
Mkuu,1. Nadhani Zitto anajua kuwa nishati hapa Tanzania hujengwa kutokana na misaada na mikopo kutoka nje.Hata TANESCO hutafuta funds na mikopo kutoka nje ya serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali,mfano ule wa kusambaza umeme kilomita 667 toka Iringa mpaka shinyanga ambao umekuwa funded na European Investment Bank,shs bilioni 150...je ulikuwa kwenye bajeti yoyote?
2.Kulipa deni la taifa ni moja kati ya matumizi ya maendeleo,ina facilitate uwezo wa kupata mikopo.
3. Kuhusu posho, ni wajibu wetu watanzania, hasa wafanyakazi wa serikali kuamua au kujitolea kutokuzipokea au kuomba kupunguziwa kwa asilimia hamsini..... hapatakalika!
4. Jumatano nakuchallenge Zitto, usome bajeti itakayoonyesha vyanzo mbadala vya kodi na makato ya matumizi, ili elimu iwe bure!...cos you promised this in your campaigns na ilani ya CDM, kama haita-include free education huo utakuwa ni uhuni tu! Ninayo video ya Mnyika akielezea what you will do in your first year kwenye utawala kama mngepata ridhaa.
kichwa kilitakiwa kiwe "maabusu inaweza kuwa msaada mkubwa kwa watu kuwa na hekima" maana kichwa cha thread na thread yenyewe haviendani hata kidogo.
Hii bajeti ni mbuzi,wala siwezi kuitetea!Mkuu,
Hata William Malechela ameanza kusoma alama za nyakati anasoma upepo ulivyo. Subiri uone hao unaowatetea majibu watayoyatoa. Kwanza kabisa watasema siasa hizo!
Doh! Mmenifungua Macho! Wanachakachua hata bajeti! Makubwa! Asante sana, nadhani saa ya ukombozi i karibu sana sasa! Mungu awabariki azidi kuwapa upeo huu mkubwa wa kuona, ili kumkomboa mtanzania.
3.kuhusu posho,ni wajibu wetu watanzania,hasa wafanyakazi wa serikali kuamua au kujitolea kutokuzipokea au kuomba kupunguziwa kwa asilimia hamsini.....hapatakalika!
Kobello, Kobello1. Nadhani Zitto anajua kuwa nishati hapa Tanzania hujengwa kutokana na misaada na mikopo kutoka nje.Hata TANESCO hutafuta funds na mikopo kutoka nje ya serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali,mfano ule wa kusambaza umeme kilomita 667 toka Iringa mpaka shinyanga ambao umekuwa funded na European Investment Bank,shs bilioni 150...je ulikuwa kwenye bajeti yoyote?
2.Kulipa deni la taifa ni moja kati ya matumizi ya maendeleo,ina facilitate uwezo wa kupata mikopo.
3. Kuhusu posho, ni wajibu wetu watanzania, hasa wafanyakazi wa serikali kuamua au kujitolea kutokuzipokea au kuomba kupunguziwa kwa asilimia hamsini..... hapatakalika!
4. Jumatano nakuchallenge Zitto, usome bajeti itakayoonyesha vyanzo mbadala vya kodi na makato ya matumizi, ili elimu iwe bure!...cos you promised this in your campaigns na ilani ya CDM, kama haita-include free education huo utakuwa ni uhuni tu! Ninayo video ya Mnyika akielezea what you will do in your first year kwenye utawala kama mngepata ridhaa.
Hakuna ubaya kwa kulipa madeni, ila ingekuwa ni vizuri waziri akweka bayana kuwa katika bejeti hii serikali imamua kulipa madeni ili angalu kujenga imani kwa wakopeshaji.2. Wakati Waziri na Serikali wanataka kuwaaminisha Watanzania kuwa bajeti ya mwaka huu imeongezeka kuliko ilivyokuwa mwaka 2010/2011, ukweli ni kuwa hakuna ongezeko halisia (real term increase) lililofanyika. Bajeti iliyopita ilikuwa kiasi cha shilingi 11.6 trilioni wakati mwaka huu wa 2011/2012 serikali ina bajeti ya jumla ya shilingi 13.525 trilioni. Kati ya ya fedha hizo za mwaka 2011/2012, kiasi cha shilingi 1.901 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 14.06% ya bajeti yote, kitatumika kulipia deni la Taifa. Kwa mantiki hiyo, mtaona kuwa fedha kwa ajili ya kuendesha serikali pamoja na kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo zitabaki kuwa ni kiasi cha shilingi trilioni 11.624 ambazo ni sawa na fedha za bajeti ya mwaka uliomalizika wa 2010/2011 (Japo thamani ya shilingi imeanguka ukilinganisha na hali ilivyokuwa mwaka 2010/2011). Tunasisitiza kuwa hii si bajeti ya maendeleo, hii ni bajeti ya madeni.
At least tumekutana ila mkuu tatizo ulilotaja si msingi wa mtatizo ya bajeti bali namna tunavyosimamia na kudhibiti matumizi.ulichotaja ni zao tu. Hata mipango ya kukusanya mapato haijajikita kwenye vyanzo vikuu na muhimu sana kama madini, utalii.Hii bajeti ni mbuzi,wala siwezi kuitetea!
Ila kuna mambo watu wanajitafutia umaarufu, bila kufikiria.
Hii bajeti hata ukiongeza trilioni mbili (shilingi), hakutakuwa na maendeleo ya maana, huwezi kuchukua shilingi ukaigeuza dola au euro kirahisi, serikali huwa haiendi bureau de change.
Inabidi tuvikabe vyanzo vya forex.....Lazima tujue tunategemea kuwa na dola au Euro ngapi kwa mwaka na tutazitumiaje......haya mambo ya shillings hayana maana.
Nitakupa mfano mdogo tu.Hebu angalia posho za serikali za mitaa,Kobello, tuongee vitu vyenye uhalisia. Posho anazoongelea Zitto hazimgusi mtanzania kama unavyotaka tuamini.
Bilioni 19 za maandazi na chapati za mwaka jana zilikuwa za 'state banquet' semina elekezi n.k. Kuna mfanyakazi wa kawaida hajawahi kupata posho hata siku moja.Karani anapata posho kwa lipi, hahudhurii semina, vikao au safari ya aina yoyote.
Posho ni kama za wabunge, mawaziri. Usitake kukwepa ukweli kwa kubadili maneno ili ionekane posho ni kwa watanzania wote, si kweli ni asilimia ndogo sana lakini ina bajeti kubwa sana.
Mwalimu kule mkuranga hajapata mshahara, kobello anatuaminisha kuwa naye ni miongoni mwa Watz wanopata posho!!!!!!!!!!!!
1. Nadhani Zitto anajua kuwa nishati hapa Tanzania hujengwa kutokana na misaada na mikopo kutoka nje.Hata TANESCO hutafuta funds na mikopo kutoka nje ya serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali, mfano ule wa kusambaza umeme kilomita 667 toka Iringa mpaka shinyanga ambao umekuwa funded na European Investment Bank,shs bilioni 150...je ulikuwa kwenye bajeti yoyote?
Tehe teh teh.... Utawezaje kuwa mwenyekiti wa PRSC na usijue bajeti itakuwa kiasi gani,mimi nilishaiona gazetini tangu early may!! na wataalam wengi walishamwambia haitoshi,au wewe ulikuwa hujui?Akina zitto wamekesha tu tayari wamegundua makosa kibao while wao wameiandaa muda mrefu tu.