Zitto, Mnyika wafichua upotoshaji bajeti ya Mkulo; Spika Makinda akiri, amtaka Mkulo arekebishe

Hivi Zitto anahitaji makosa ya Mkullo kupata umaarufu? Kati ya Mkullo na Zitto nani maarufu? Namshauri Mkullo amwalike Zitto waende pale UDOM waone; na kila mmoja aitishe mkutano waone nani atakuwa na wasikilizaji wengi? Na kama hiyo ni ngumu, basi waitishe mkutano mmoja halafu waone nani ataonja joto ya zomeazomea.
Mkullo badala ya kujibu hoja anarukia mambo mepesi mepesi. Waziri wa Fedha kuwa kilaza ni aibu sana.
 
Wakuu najiuliza, waziri anajenga hoja kuwa bajeti imepitiwa na wataalamu na kupitia baraza la mawaziri mara 4 ndio bajeti bora, mimi ambaye ni mbumbumbu sioni hoja hapo,angebainisha kifungu kwa kifungu kama alivyofafanua Zitto. Mikataba bomu ilioandaliwa na kupitiwa na baraza la mawaziri ni juzi mswaada wa sheria ya katiba mpya si umeandaliwa na wataalamu na kupitiwa na baraza la mawaziri nini kilitokea? Hebu jama tufike mahali tuseme sasa basi ubabaishaji unatosha.

Waziri si mbunifu ni mzigo tu, sio creative anatumia visingizio kukwepa majukumu.Lakini ana uchungu gani wakati anakejeri wale wanaotaka kumsahihisha ila yeye bado yu gizani.In short bajeti ni hadithi nyingine za Abunuasi,tumeliwa.
 
Kama bajet hiy imeipitiwa na baraza la mawaziri mara nne na bado ikaja na makosa yote hayo basi HATUNA BARAZA LA MAWAZIRI!
 
Mlio karibu na Mkulo mmshaurini mheshimiwa ajibu hoja zinazoibuliwa na Zito na wengineo kwa hoja si kutoa excuse za watu kutafuta ummaarufu or better still kama yeye ndio anatengeneza hiyo mianya ya watu kupata ummaarufu basi afanye kazi yake vizuri

Hayo maswala ya mtu kutafuta umaarufu watz ni watu wenye uwezo wa kupima hawaitaji mtu kuwasemea juu ya hilo.

Ushauri; Mawaziri msaidieni JK kwa kuachana na blah blah ktk maswala muhimu ya kitaifa
 
Hivi Zitto anahitaji makosa ya Mkullo kupata umaarufu? Kati ya Mkullo na Zitto nani maarufu? Namshauri Mkullo amwalike Zitto waende pale UDOM waone; na kila mmoja aitishe mkutano waone nani atakuwa na wasikilizaji wengi? Na kama hiyo ni ngumu, basi waitishe mkutano mmoja halafu waone nani ataonja joto ya zomeazomea.
Mkullo badala ya kujibu hoja anarukia mambo mepesi mepesi. Waziri wa Fedha kuwa kilaza ni aibu sana.

Sijui ni umaarufu gani aliokuwa anamaanisha waziri wetu wa fedha?
 
Mkullo anashangaza sana, mpaka sasa anazungumzia kupunguza kodi kwenye mafuta lakini hajasema ni kwa kiasi gani, na yatakuwa shilingi ngapi kwa lita, akitokea Zitto mwingine akahoji na kusikika kwa wadanganyika Mkullo atasema anatafuta umaarufu, hao wataalam anaowazungumzia ndio waliolifikisha taifa hili hapa lilipo wameshindwa nini tangu mwezi wa tatu kupanga ni kodi ipi kwenye mafuta inapaswa kupunguzwa/kuondolewa kabisa?
 
Sijui ni umaarufu gani aliokuwa anamaanisha waziri wetu wa fedha?
Baada ya Zitto kuzungumzia swala la serikali kuishiwa pesa na kuchelewa kulipa mishahara, ikiwemo kukopa ktk benk za ndani kwa ajili ya kulipa mishahara, Mkulo alisema kuwa Zitto anatafuta umaarufu. Zitto akiwa anahojiwa Clouds FM alimwambia Mkulo achague kijiji waende wote wawili na helcopter afu wawaulize wananchi nani ni nani. Hapo Mkulo atajua nani ni maarufu.
 
tz na vyeo vya kushikaj,hapo aloteua hilo genge la mawazir n mchovu kama wao.jkiwete kwa visas kipaj anacho.
 
Mlio karibu na Mkulo mmshaurini mheshimiwa ajibu hoja zinazoibuliwa na Zito na wengineo kwa hoja si kutoa excuse za watu kutafuta ummaarufu or better still kama yeye ndio anatengeneza hiyo mianya ya watu kupata ummaarufu basi afanye kazi yake vizuri

Hayo maswala ya mtu kutafuta umaarufu watz ni watu wenye uwezo wa kupima hawaitaji mtu kuwasemea juu ya hilo.

Ushauri; Mawaziri msaidieni JK kwa kuachana na blah blah ktk maswala muhimu ya kitaifa
Lakini mkuu kama umesoma majibu ya mkullo,utaona kuwa kila kitu ni self explanatory.
1.Kamati za bunge hazikusema lolote kuhusiana na bajeti kabla haijasomwa,wapinzani nao wapo kwenye hizi kamati na nina uhakika Zitto aliiona hii bajeti kabla haijasomwa na akakaav kimya.

2.Kuhusu posho kuwa more than last year,wamezungumzia kuhusu zoezi la census inayokuja na mchakato wa katiba mpya,inahitaji posho za watu wataofanya zoezi hili,kwa hiyo itakuwa a bit more than last year's.....mimi ningependa kama posho zingekatwa by 50% na tungekuwa more transparent but thats a very unpopular thing among government workers including LAGs .

3.Kuhusu uwekezaji mdogo kwenye umeme,mimi sioni kama serikali ina ubavu wa kuwekeza kwenye umeme kwa kutegemea taxes za humu ndani....umeme unahitaji heavy forex investment,where we gewt forex?.....export,ambayo almost half of it inatumika kuagiza mafuta.
Hii inafanya serikali kupitia TANESCO kuomba mikopo au misaada kutoka international organisations ili kuinvest in "transmission" na ku attract private investment in generation and distribution.

Siyo mshabiki wa hii,ila bwana Zitto kusema kuwa bil 350 zilizotengwa ni enough kwa mw 160 only,inaonyesha hoiw shallow he is thinking that electricity is only about generation na kusahau investment ya almost half a billion dollars from european bank na serikali kwenye high voltage transimission from iringa to shinyaga....very important.

4.Kuhusu serikali kulipa madeni.......C'mon! that was dumb,kwanini serikali isilipe madeni na interest?...mboa mwaka jana walilipa almost the same and nobody said nothing?.....kuna pesa gani tuliyoingiza mwaka jana itayofanya bajeti ya mwaka huu iwe sooo big?
Ndiyo maana baadhi yetu tunaona hawa jamaa wanacheza the same game,but personally I think Mkullo is more realistic and way deeper than Zitto....sorry naomba usinitukane au kunikashifu but we can debate on this.
 
Kinachonishangaza, ni kwamba wabunge wa CCM hawaoni haya mapungufu katika bajeti? Mbona wanakuwa kama tairi la mbele la gari ambalo dereva ndiye analiongoza wakati wote? Inatia shaka sana. Pale wamepelekwa na wananchi ni mahali pao pa kufurukuta. Lakini wapi!
 
Hongera Chadema kweli mnastahili kuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni na chama kikuu cha upinzani.

Hivi CUF walivyokuwa kambi rasmi ya upinzani walikuwa wanaleta vitu vilivyochambuliwa kama hivi, au walifanywa bwabwa la Bw. Magamba?
 
1. Nadhani Zitto anajua kuwa nishati hapa Tanzania hujengwa kutokana na misaada na mikopo kutoka nje.Hata TANESCO hutafuta funds na mikopo kutoka nje ya serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali,mfano ule wa kusambaza umeme kilomita 667 toka Iringa mpaka shinyanga ambao umekuwa funded na European Investment Bank,shs bilioni 150...je ulikuwa kwenye bajeti yoyote?

2.Kulipa deni la taifa ni moja kati ya matumizi ya maendeleo,ina facilitate uwezo wa kupata mikopo.

3. Kuhusu posho, ni wajibu wetu watanzania, hasa wafanyakazi wa serikali kuamua au kujitolea kutokuzipokea au kuomba kupunguziwa kwa asilimia hamsini..... hapatakalika!

4. Jumatano nakuchallenge Zitto, usome bajeti itakayoonyesha vyanzo mbadala vya kodi na makato ya matumizi, ili elimu iwe bure!...cos you promised this in your campaigns na ilani ya CDM, kama haita-include free education huo utakuwa ni uhuni tu! Ninayo video ya Mnyika akielezea what you will do in your first year kwenye utawala kama mngepata ridhaa.

Sijui kama unajua kuwa posho ni policy issue? Pili ni vizuri kudecode msg na siyo kuwa na mentality za kupinga just because wazo linatoka upinzani. Ni wapi ukisoma ktk maelezo ya Zitto unapata hisia kuwa ana-suggest TZ isilipe deni? Kwanini unashindwa kuelewa kuwa anachohojio ni kiwango ukilinganisha na priorities zingine mbalimbali?
 
Lakini mkuu kama umesoma majibu ya mkullo,utaona kuwa kila kitu ni self explanatory.
1.Kamati za bunge hazikusema lolote kuhusiana na bajeti kabla haijasomwa,wapinzani nao wapo kwenye hizi kamati na nina uhakika Zitto aliiona hii bajeti kabla haijasomwa na akakaav kimya.

2.Kuhusu posho kuwa more than last year,wamezungumzia kuhusu zoezi la census inayokuja na mchakato wa katiba mpya,inahitaji posho za watu wataofanya zoezi hili,kwa hiyo itakuwa a bit more than last year's.....mimi ningependa kama posho zingekatwa by 50% na tungekuwa more transparent but thats a very unpopular thing among government workers including LAGs .

3.Kuhusu uwekezaji mdogo kwenye umeme,mimi sioni kama serikali ina ubavu wa kuwekeza kwenye umeme kwa kutegemea taxes za humu ndani....umeme unahitaji heavy forex investment,where we gewt forex?.....export,ambayo almost half of it inatumika kuagiza mafuta.
Hii inafanya serikali kupitia TANESCO kuomba mikopo au misaada kutoka international organisations ili kuinvest in "transmission" na ku attract private investment in generation and distribution.

Siyo mshabiki wa hii,ila bwana Zitto kusema kuwa bil 350 zilizotengwa ni enough kwa mw 160 only,inaonyesha hoiw shallow he is thinking that electricity is only about generation na kusahau investment ya almost half a billion dollars from european bank na serikali kwenye high voltage transimission from iringa to shinyaga....very important.

4.Kuhusu serikali kulipa madeni.......C'mon! that was dumb,kwanini serikali isilipe madeni na interest?...mboa mwaka jana walilipa almost the same and nobody said nothing?.....kuna pesa gani tuliyoingiza mwaka jana itayofanya bajeti ya mwaka huu iwe sooo big?
Ndiyo maana baadhi yetu tunaona hawa jamaa wanacheza the same game,but personally I think Mkullo is more realistic and way deeper than Zitto....sorry naomba usinitukane au kunikashifu but we can debate on this.

Nilil-suggest mumshauri na sio wewe kuja na majibu! yasiyo na uhakika base nzima ya bajeti technically inashida kubwa sana.... pamoja na kuwa ndio mmekuwa mkielekezwa kuandika contrary to profession zenu.Je unasemaje ale recurrent expenditure inakuwa kubwa kuliko revenues za ndani?
 
Kwenye red,kwanini unafikiri mtu yoyote akipost anything that's pro-government ametumwa?
Kuhusu expenditures kuwa kubwa kuliko revenues sio jambo zuri hata kidogo na linaweza kuepukwa,lakini hiyo haiimaanishi kuwa haitatokea.
Ule uchambuzi ulikuwa crappy,not comparative,figures alizotoa ni za uongo akabidi arekebishe,plus he is an insider na alikuwa anajua outlook ya bajeti.Mbona mimi mlalahoi niliijua tangu March?
Sorry,but the analysis was too local .

OOH,mimi sio mshauri wa mtu yoyote ila kama kuna kitu nimeona hakimake sense,nitasema......It's just natural and I know it wont change nothin.
 
Kusema Zitto ni Insider kwenye maandalizi ya bajeti ni upotoshaji, na kama ni Insider maana yake hata hiyo bajeti ya upinzani haina sababu ya kuwa presented Bungeni kwa sababu itakuwa ni marudio ya kile ambacho tayari wamekifanya (self review).

Ukisoma vizuri maelezo ya Mkulo, hakuna mahali ameeleza kuwa Zitto alikuwa mmoja wa waliondaa bajeti (au hata kuifanyia review), amesema bajeti iliandaliwa na watalaam na maprof (anatutisha kwa kutamka maprofesa) na ikapitiwa na mawaziri mara nne (ambapo Zitto sio mmoja wao), Zitto kama upinzani wako katika mchakato wa kuipitia bajeti iliyoletwa na Serikali.

Mkulo kasemaje kuhusu sh 20,000 kwenda sh 300,000 na kutamka sh 50,000 za makosa ya barabarani? Kama hii ingetamkwa vizuri na Mkulo kwa kufafanua kwamba kwenye vitabu imeandikwa hivi kwa sababu ya hivi na hivi; Zitto asingepata loophole kwa kipengele hiki.

Mkulo amesemaje kuhusu bajeti ya Nishati, TSHS 76.95 bil+TSHS 325.45 bil=TSHS 537 bil? Kwa nini ufafanuz haukuwa wazi tokea mwanzo?

Umepata kupitia magazeti kuangalia ufafanuzi uliotolewa na mashirika yasiyofungamana na upande wowote kama Pricewaterhousecoopers au Deloitte kujua wao wanasemaje kuhusu bajeti?
 
Unaweza kumuuliza kwanini ATC inafufuliwa?PRSC walikuwa wanajua au la?
Kama ndiyo,ye anaonaje?Kama la,kwanini hakumention kwenye upembuzi?

Labda nieleze ninavyofikiri,mfano ukisema asilimia kubwa imeenda kwenye madeni,ungetueleza
1.Deni la taifa,na interest
2.kiasi cha chini kinachotakiwa kulipwa bila kuharibu reputation....ingawa imeshaharibika.
3.Difference ingewekezwa wapi.

Lakini ukisema ni asilimia kubwa,compared to who,what,when,where?
 
Sikubaliani na wewe moja kwa moja kwa sababu hata kama mradi wa umeme utategemea wafadhili ingejulikana wazi. Hoja kubwa hapa ni maandishi ya Mkullo kukinzana na figures. Huu utapeli unaelekea kukomaa sasa kwani sio mara ya kwanza CCM kuchezea watanzania. Marmo alifanya hivyo hivyo kwa kumchomekea Rais kipengele ambacho hakikuwa discussed bungeni.

1. Nadhani Zitto anajua kuwa nishati hapa Tanzania hujengwa kutokana na misaada na mikopo kutoka nje.Hata TANESCO hutafuta funds na mikopo kutoka nje ya serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali,mfano ule wa kusambaza umeme kilomita 667 toka Iringa mpaka shinyanga ambao umekuwa funded na European Investment Bank,shs bilioni 150...je ulikuwa kwenye bajeti yoyote?

2.Kulipa deni la taifa ni moja kati ya matumizi ya maendeleo,ina facilitate uwezo wa kupata mikopo.

3. Kuhusu posho, ni wajibu wetu watanzania, hasa wafanyakazi wa serikali kuamua au kujitolea kutokuzipokea au kuomba kupunguziwa kwa asilimia hamsini..... hapatakalika!

4. Jumatano nakuchallenge Zitto, usome bajeti itakayoonyesha vyanzo mbadala vya kodi na makato ya matumizi, ili elimu iwe bure!...cos you promised this in your campaigns na ilani ya CDM, kama haita-include free education huo utakuwa ni uhuni tu! Ninayo video ya Mnyika akielezea what you will do in your first year kwenye utawala kama mngepata ridhaa.
 
Hongera sana Zitto kwa kubaini hilo na kuwajuza wananchi wenzako.

Kila la kheir tunasubiri hotba yako.
 
Unaweza kumuuliza kwanini ATC inafufuliwa?PRSC walikuwa wanajua au la?
Kama ndiyo,ye anaonaje?Kama la,kwanini hakumention kwenye upembuzi?

Labda nieleze ninavyofikiri,mfano ukisema asilimia kubwa imeenda kwenye madeni,ungetueleza
1.Deni la taifa,na interest
2.kiasi cha chini kinachotakiwa kulipwa bila kuharibu reputation....ingawa imeshaharibika.
3.Difference ingewekezwa wapi.

Lakini ukisema ni asilimia kubwa,compared to who,what,when,where?

Nakubaliana na wewe kwa baadhi ya vitu ikiwemo na swala la kulipa madeni, Zitto alifanya assumption ya kwamba bajeti ya Mwaka jana haikuwa na kipengele cha kulipa madeni (hili naye katuchanganyia).

Lakini vipi kuhusu hivi vipengele viwili we unavionaje?
1. Mkulo kasemaje kuhusu sh 20,000 kwenda sh 300,000 na kutamka sh 50,000 za makosa ya barabarani? Kama hii ingetamkwa vizuri na Mkulo kwa kufafanua kwamba kwenye vitabu imeandikwa hivi kwa sababu ya hivi na hivi; Zitto asingepata loophole kwa kipengele hiki.

2. Mkulo amesemaje kuhusu bajeti ya Nishati, TSHS 76.95 bil+TSHS 325.45 bil=TSHS 537 bil? Kwa nini ufafanuz haukuwa wazi tokea mwanzo?

Ufafanuzi tafadhari.
 
Back
Top Bottom