Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya na ina madhara makubwa katika nchi. Ni dhahiri kuwa Manji sasa anaonewa na kudhalilishwa ili kumkomoa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wenyewe.

Wakati suala la kutumia unga lipo kortini, Serikali imeamua kumnyanganya hisa zake za Tigo. Sio kwamba Serikali itachukua hisa Hizo, la hasha. Ila Manji azikose tu. Unajiuliza, Serikali hii hii imeacha matapeli wa PAP kuitwaa IPTL na TANESCO inawalipa zaidi ya tshs 300m kila siku.

Leo mpaka mahakama inatumia suo moto kurudisha suala la hisa za Manji kwenye Tigo ambalo halina maslahi yeyote ya Taifa. Kwanini Mahakama haikufanya suo moto kurudisha fedha za Tegeta Escrow?

Watanzania wajue tu kuwa, mwaka 2004 Serikali iliachia hisa zake 20% kwenye Tigo kwa USD 750,000 ( vichekesho) kwa kuiuzia kampuni kutoka Luxembourg. Badala ya Serikali kuhangaika na maafisa wake walioachia hisa kutoka nje ya Tanzania wanahangaika na Mtanzania aliyezirudisha hisa Tanzania.

Uhamiaji wanamwita kuhusu wafanyakazi wake wageni kana kwamba yeye Yusuf ni Afisa Rasilimali watu wa kampuni. Aliko Dangote hakuitwa uhamiaji kwa suala la wafanyakazi wake ila Manji anaitwa.
Wakifanikiwa kwa Manji atatafutwa mwengine, Ni sawa na kula nyama ya mtu. Hutaacha.

Manji anaweza kuwa ana madudu mengi Sana, ahukumiwe kwa haki kwa makosa yake. Asikomeshwe kwani ukomeshaji hautaishia kwake. Asionewe. Atendewe haki. Anyways Kama Mwana Simba, nawasihi Yanga achaneni na mambo ya mabango uwanjani. Hayasaidii lolote.
 
Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya na ina madhara makubwa katika nchi. Ni dhahiri kuwa Manji sasa anaonewa na kudhalilishwa ili kumkomoa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wenyewe.
Wakati suala la kutumia unga lipo kortini, Serikali imeamua kumnyanganya hisa zake za Tigo. Sio kwamba Serikali itachukua hisa Hizo, la hasha. Ila Manji azikose tu. Unajiuliza, Serikali hii hii imeacha matapeli wa PAP kuitwaa IPTL na TANESCO inawalipa zaidi ya tshs 300m kila siku. Leo mpaka mahakama inatumia suo moto kurudisha suala la hisa za Manji kwenye Tigo ambalo halina maslahi yeyote ya Taifa. Kwanini Mahakama haikufanya suo moto kurudisha fedha za Tegeta Escrow?

Watanzania wajue tu kuwa, mwaka 2004 Serikali iliachia hisa zake 20% kwenye Tigo kwa USD 750,000 ( vichekesho) kwa kuiuzia kampuni kutoka Luxembourg. Badala ya Serikali kuhangaika na maafisa wake walioachia hisa kutoka nje ya Tanzania wanahangaika na Mtanzania aliyezirudisha hisa Tanzania.

Uhamiaji wanamwita kuhusu wafanyakazi wake wageni kana kwamba yeye Yusuf ni Afisa Rasilimali watu wa kampuni. Aliko Dangote hakuitwa uhamiaji kwa suala la wafanyakazi wake ila Manji anaitwa.
Wakifanikiwa kwa Manji atatafutwa mwengine, Ni sawa na kula nyama ya mtu. Hutaacha.

Manji anaweza kuwa ana madudu mengi Sana, ahukumiwe kwa haki kwa makosa yake. Asikomeshwe kwani ukomeshaji hautaishia kwake. Asionewe. Atendewe haki.

Anyways Kama Mwana Simba, nawasihi Yanga achaneni na mambo ya mabango uwanjani. Hayasaidii lolote.
 
Nasubiri kuona Manji akinyang'anywa na ile kadi ya CCM, na hapo ndio nitafurahi zaidi. CCM ni chama cha Fitna, Visasi, Ushirikina, Ufisadi na Ujanja. Manji alichokoza moto wa Ngosha na sasa anakiona cha mtema kuni. Na bado, huo ni mwanzo tu, makubwa yanakuja.

CCM oyeee.
Hapa kazi tu.
 
Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya na ina madhara makubwa katika nchi. Ni dhahiri kuwa Manji sasa anaonewa na kudhalilishwa ili kumkomoa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wenyewe.
Wakati suala la kutumia unga lipo kortini, Serikali imeamua kumnyanganya hisa zake za Tigo. Sio kwamba Serikali itachukua hisa Hizo, la hasha. Ila Manji azikose tu. Unajiuliza, Serikali hii hii imeacha matapeli wa PAP kuitwaa IPTL na TANESCO inawalipa zaidi ya tshs 300m kila siku. Leo mpaka mahakama inatumia suo moto kurudisha suala la hisa za Manji kwenye Tigo ambalo halina maslahi yeyote ya Taifa. Kwanini Mahakama haikufanya suo moto kurudisha fedha za Tegeta Escrow?

Watanzania wajue tu kuwa, mwaka 2004 Serikali iliachia hisa zake 20% kwenye Tigo kwa USD 750,000 ( vichekesho) kwa kuiuzia kampuni kutoka Luxembourg. Badala ya Serikali kuhangaika na maafisa wake walioachia hisa kutoka nje ya Tanzania wanahangaika na Mtanzania aliyezirudisha hisa Tanzania.

Uhamiaji wanamwita kuhusu wafanyakazi wake wageni kana kwamba yeye Yusuf ni Afisa Rasilimali watu wa kampuni. Aliko Dangote hakuitwa uhamiaji kwa suala la wafanyakazi wake ila Manji anaitwa.
Wakifanikiwa kwa Manji atatafutwa mwengine, Ni sawa na kula nyama ya mtu. Hutaacha.

Manji anaweza kuwa ana madudu mengi Sana, ahukumiwe kwa haki kwa makosa yake. Asikomeshwe kwani ukomeshaji hautaishia kwake. Asionewe. Atendewe haki.

Anyways Kama Mwana Simba, nawasihi Yanga achaneni na mambo ya mabango uwanjani. Hayasaidii lolote.

Acheni watu wafanye kazi! Kelele haziwaishi serikali ikikaa kimya, na haziwaishi ikifanya kazi!! Umaskini wa fikra ni umaskini wa hovyo kabisa, sawa na wanaoplan kubeba mabango kwa sababu akili zao wamebebewa, wao wanatumia tu vichwa vyao kwa ajili ya kusuka na kufugia nywele!!!!!
 
Njia pekee ambayo Zitto anaona inafaa ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuongea mambo ambayo angeweza kuyasema Bungeni sehemu ambayo angesikilizwa na kupata ufafanuzi wa hoja yake lakini kushinda kwenye Twitter na Facebook sidhani kama itamsaidia chochote
mbona sijamuona kuja huku JAMII FORUMS
kwa GT anakimbilia Twitter na Facebook kwenye wafwasi wake unadhani watamchallenge nini? wakati mwenye account anakuwa yeye ndo Admn anaweza kukublock kama ukimchallege.
tunamwomba huku kwenye Bahari huru mtoa mada na mchangia mada wote hawana funguo ya kumblock mtu

Kama leo kiongozi mwenye sehemu ya kusemea anashinda mitandaoni ni kusema yale aliyotakiwa kusema Bungeni namwona hana tofauti na sisi ambao hatuna sehemu ya kusemea zaidi ya mitandaoni

Mtu mweusi anapenda sana kila anachokifanya watu wajue lakini wakati huo hapendi wizi au mabaya anayofanya watu wajue
Zitto amekuwa Mwanaharakati si mwanasiasa wanaharakati ndio kutwa wanakuja na matamko Zitto bla bla hatutaki kusikia tunataka maendeleo ya watu wa Kigoma mjini sheria si mlizitunga nyiny Bungeni na zingine zimetungwa Zitto akiwa Bungeni sasa unalalamika nini zikitumika?

Mm naona Ndugu Zitto taratibu anakuwa kama Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa Deogratius Kisandu

Wanaomtetea huyu sijui hawakumbuki kuwa wakati wenzie wanatoka nje ya Bunge kwa kutokubali kile kilichokuwa kinaendelea Bungeni Zitto alikuwa anabaki ndani ya Bunge so leo nashangaa nini kilichombadilisha ?
 
Back
Top Bottom