Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

Iliwahi kuripotiwa kuhusu Manji kutaka kunyang'anywa hisa zake za umilki wa Tigo ambayo ilitaariwa aliinunua. Huku akiwa na kesi ya matumizi ya unga,kesi ya kuhujumu uchumi kisa nguo za jeshi na huku TRA wakimtaka kwa ajili ya kesi nyingine za mambo ya kodi,lingine njiani!!!

Kwa ujasiri huu na speed hii dhidi ya Manji iko kazi,ila naamini kabisa kama ni uzalendo basi serikali ingeitaifisha Airtel, kwa wafuatiliaji tu wakumbuke ilivyoota,Celtel ndani ya TTCL na management ya TTCL enzi za kina Mwandosya hadi kuja kuwa Zain na hatimae Airtel!!!!

Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali
 
Attachments

  • New-Doc-2017-08-18_23.jpg
    59 KB · Views: 29
Kwa ujasiri huu na speed hii dhidi ya Maji iko kazi ila naamini kabisa kama ni uzalendo basi serikali ingeitaifisha Airtel, kwa wafuatiliaji tu wakumbuke ilivyoota,Celtel ndani ya TTCL na management ya TTCL enzi za kina Mwandosya hadi kuja kuwa Zain na hatimae Airtel!!!!
Mkuu Kipumbu hebu jichimbie tena ukasome kuhusu suala la TTCL ili uweze kutofautisha na suala la Tigo.
 
Naongea na mwenye mbwa,siongei na mbwa! Lakini Leo mbwa kawa mwenye mbwa
Huyu ndiyo Mwanaume! Wanaume huwa wanapambana Ulingoni sio kumfunga kamba mikono mwenzago(kutumia vyombo vya dola) kisha kushangilia ushindi kwa kumpiga KO muachilie mpambane man to man Muraaaaa... Umbwa hawezi kuwa mwenye Umbwa kamwe hata ukimpaka boda na kumvalisha pamba za Gucci.

666
 
Mkuu Kipumbu hebu jichimbie tena ukasome kuhusu suala la TTCL ili uweze kuseriha na suala la Tigo.

Mkuu,tuwekee nyama kwenye mtanange wa Manji na Tigo,kosa ni nini?! Ikiwa hii ni private company, revocation of shares naona imekwama sasa wanakuja na kuifuta leseni yake ama?!

Tatizo ni kodi ama ndio yale yale kuanzia ufukwe wa coco beach,kutaka Yanga,kutaka Ubunge na baadae Umeya,sasa yuko jela na bado watu wanachochea tu kumi?!

Suala la TTCL na Airtel iliyozaliwa kutoka kwenye Celtel ni aibu na fedheha kubwa sana kwa nchi na Taifa,nakumbuka sana hata ofisi zao zilikuwa jengo moja na TTCL na hata miundo mbinu,mfano Kijitonyama science enzi hizo!!!
 
Hapo ni sawasawa umnyanganye Barrick kwa ACCACIA
siku zoote TEMBO HATA AKONDE VIPI HAWEZI KUWA SAWA NA MBUZI
 
Hivi ikithibitika kuwa hana hatia, tutapata nguvu ya kuja na hoja nyingine tena?
Huku mnalia juu ua vijana wenu kukosa ajira na usiku mnawaza jinsi ya kuwakomesha wakiowaajiri vijana wenu ikifika mchana unadai kulipwa kodi ili ikusaidie kula! Au ni mie sizielewi siasa hizi za bongo?
 
Mkuu,tuwekee nyama kwenye mtanange wa Manji na Tigo,kosa ni nini?! Ikiwa hii ni private company, revocation of shares naona imekwama sasa wanakuja na kuifuta leseni yake ama?!
Tigo na Manji wanapambana wenyewe kwa wenyewe wana hisa,serikali haina mkono wake
Kuhusu TTCL,serikali iluza hisa zake kwa celtel ndio maana walikua jengo moja kwa maana nyingine celtel walikua wanimiliki TCCL na miundombinu yake, usiogope!
Lakini baada ya kuona haifaidiki na kuuzwa kwa hisa hizo,serikali ilnunua hisa zake toka Airtel ambao walizirthi toka celtel,na kwa sasa serikali inamiliki 100%.
Watanzania haswa wapinzani muache tabia ya kusema fulani anaonewa kwa sababu fulani,basi mbona fulani kaachiwa
Kama kuna kosa TTCL usilazimishe lifanye Manji aachiwe,kila jambo litashughulikiwa kwa wakati wake
 
S
Iliwahi kuripotiwa kuhusu Manji kutaka kunyang'anywa hisa zake za umilki wa Tigo ambayo ilitaariwa aliinunua. Huku akiwa na kesi ya matumizi ya unga,kesi ya kuhujumu uchumi kisa nguo za jeshi na huku TRA wakimtaka kwa ajili ya kesi nyingine za mambo ya kodi,lingine njiani!!!

Kwa ujasiri huu na speed hii dhidi ya Manji iko kazi,ila naamini kabisa kama ni uzalendo basi serikali ingeitaifisha Airtel, kwa wafuatiliaji tu wakumbuke ilivyoota,Celtel ndani ya TTCL na management ya TTCL enzi za kina Mwandosya hadi kuja kuwa Zain na hatimae Airtel!!!!

Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali
Sasa hapa nawe umeandika kitu gani?
 
Back
Top Bottom