Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Zitto ameshirikiana na mabeberu kuweka classified infoz hadgarani,anatumika na mabeberu wasioitakia mema nchi hii!!!!Tunamlaaani Zitto na timu ya Mabeberu walioamua kuweka document ya SIRI hadharani.. Mabeberu sio wa kuwachekea kabisa ni wachochezi sana..
😂😂😃
Haiwezekani atoe siri za nchi,makubaliano yalikuwa ya siri!
Natamani dunia ipasuke niingie,nchi hii imelaaniwa!