ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,018
- 7,222
Angekuwa na hizo busara angeomba msamaha lakini Zitto HAKUOMBA msamaha kwa kuwaita watanzania waliojiunga na Chama Cha Mapinduzi nchini UK kuwa ni wapuuzi.naona wewe una personal issues zako na zitto naona bora umpigie simu mmalizane usitubadilishie topic buree hapa tunaongelea yaliyojiri en not the past , sasa kama ulimwambia aombe msamaha kwa busara zake akaomba ndo unamwambia na leo aombe bungeni ukitarajia ataomba? mijitu mingine bwana inapenda kuota kwamba yana influence over other's life. It's just a dreeeeeeeeeeeeeam dude WAKE UUUUUUUUUUP