Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

Ilikuwa ajali ya gari aliyokuwa anaendesha mwenyewe

Nyamungo!!

It's a long but as usual hakuna aliyefuatilia. Mara nyingi tunaridhika na porojo !
To be a great thinker you need to go the extra mile. TAFADHALI take some trouble tuangalie report ya Police kama ipo kwani its over two years!!! Tujiulize mwisho wa ile ajali uilkuwa kitu gani!!! What goes around comes around I have smelt a rat there is something fishy with the accident!!

Mudhihir amekaa kimya for 2 years!!! wakati uchaguzi uko around the corner ametema cheche kwa Swahiba (almost a brother in law wa JMK aka Matonya!!!) Iko namna!!
 
ahsante nimekuelewa ndugu yangu
 
wewe zitto amesema uwongo mara nyingi siku moja hata nilikutana nae katika live debate kwenye ishu ya madini pale soma book cafe akashindwa kutetea matamshi yake hawa ni watu wa kuogopwa sana katika taifa hili
Jukwaa huru hili kaka
sema alitamka nini alichoshindwa kutolea ufafanuzi ili tumsute
 
Zito, jipe moyo huna sababu ya kufuta matamshi hayo. Definition ya "majibu hovyo hovyo" ni nini? Umepima kimizania majibu hayo hivyo useme nini. Wala hayo maneno siyo abusive language.

Kila la heri
 
hivi wabunge wa ccm wao kwao masilahi ya nchii hii ni yapiiiii???

wanaboa sana kwa tabia zao hizo za KINAFIKIIIIIII....

TUWAPUMZISHEEE JAMANIIII...

Nyauba wabunge wa ccm wapo kwa ajili ya ccm na si wananchi. Kwao ccm first then hayo mengine yanafuata baadaye.Mbona tumerogwa vibaya sisi masikini wa Mungu??!!!

Zitto kaza buti tuko pamoja mkuu tena tunaomba sana ufikirie upya adhma yako ya kutogombea tena 2010. Kwangu mimi mko wabunge kama 15, hao wengine si wabunge nitawatafutia jina baadaye, so ukitoka wewe tutapoteza 10% ya uwakilishi wetu huko bungeni. Please tafadhali tunaomba ugombee tena mwakani kwa faida ya walalahoi wakitanzania.
 
Ngoja ipo siku nitaingia bungeni kwa ticketi ya ccm, nadhani nitatimuliwa the second day.
 
Sasa Zitto bada ya kuka bungeni miaka minne na baada ya kukutana na misukosuko yote anashindwa vipi kuchagua maneno ambayo hayatadistruct mijadala muhimu? Hivi kweli Zitto alishindwa kujua kuwa asema waziri amezungumza '' hovyo hovyo'' mjadala utabadilika na wabunge wataendelea kulipwa pea za walipa kodi kwa kujadili maneno yake hayo. Au ndio ujanaujanja wa kutaka kurefusha vikao vya bajeti ili posho iwe nyingi?
Zitto omba msamaha mijadala ya bajeti iendelee.
 
ZeMarco...
Jibu la waziri wako lilikuwa la heshima .....???????????!!!!!!!!!!!!!!!
Zitto asiombe msamaha na sioni kwanini unataka kuombana msamaha, wewe huoni ni kweli jibu lilikuwa la hovyo hovyo na kijinga lilojaa kiburi na dharau si tu kwa mpinzani bali kwa utu wa mtu.
 
Cha msingi ni kuangalia what is at stake iwapo hataomba msamaha na iwapo ataomba.
Fanya hiyo analysis bila ushabiki utaona kuwa tabia ya Zitto ya kuongea maneno machafu imekithiri.
Zitto ameshawahi kuwaita wana CCM wa Uingereza kuwa ni wapuuzi humuhumu JF na kukatokea wana JF wakatetea kauli yake hiyo baada ya mimi kumwambia awaombe msamaha. Zitto akuomba msamaha kwa kauli yake hiyo.
Zitto amefukuzwa Sekondari, Chuo, Bungeni... Hivi kweli huku kote anaonewa???
 
mhhh mie saaa nyingine nachanganyikiwa kabisa kuhusu neno lipi ni abusive language na lipi sio all i see ni inategemea nani kasema akisema PM wa CCM ni neno zuri na mijitu inachekelea lakini kikitoka upande wa upinzani its an abusive language? its crazy but one thing i know for sure ZITTO wewe ni mtu unayesimamia unachokiamiini na sio watu wanachokiamini, Usiombe msamaha labda kama ndo hivyo na mudhihiri nae aombe msamaha, therefore NAKUPA SALUTE MKUUU BRAVO.
 
Zitto amefukuzwa Sekondari, Chuo, Bungeni... Hivi kweli huku kote anaonewa???

Hakuna cha ajabu hapo! Zitto hatetei mambo ya kijinga na Hovyo hovyo labda ndo sababu mifumo ya kijinga na limbukeni huwa inamwadhibu!
 
Cha msingi ni kuangalia what is at stake iwapo hataomba msamaha na iwapo ataomba.
Fanya hiyo analysis bila ushabiki utaona kuwa tabia ya Zitto ya kuongea maneno machafu imekithiri.
Zitto ameshawahi kuwaita wana CCM wa Uingereza kuwa ni wapuuzi humuhumu JF na kukatokea wana JF wakatetea kauli yake hiyo baada ya mimi kumwambia awaombe msamaha. Zitto akuomba msamaha kwa kauli yake hiyo.
Zitto amefukuzwa Sekondari, Chuo, Bungeni... Hivi kweli huku kote anaonewa???
naona wewe una personal issues zako na zitto naona bora umpigie simu mmalizane usitubadilishie topic buree hapa tunaongelea yaliyojiri en not the past , sasa kama ulimwambia aombe msamaha kwa busara zake akaomba ndo unamwambia na leo aombe bungeni ukitarajia ataomba? mijitu mingine bwana inapenda kuota kwamba yana influence over other's life. It's just a dreeeeeeeeeeeeeam dude WAKE UUUUUUUUUUP
 
Cha msingi ni kuangalia what is at stake iwapo hataomba msamaha na iwapo ataomba.
Fanya hiyo analysis bila ushabiki utaona kuwa tabia ya Zitto ya kuongea maneno machafu imekithiri.
Zitto ameshawahi kuwaita wana CCM wa Uingereza kuwa ni wapuuzi humuhumu JF na kukatokea wana JF wakatetea kauli yake hiyo baada ya mimi kumwambia awaombe msamaha. Zitto akuomba msamaha kwa kauli yake hiyo.
Zitto amefukuzwa Sekondari, Chuo, Bungeni... Hivi kweli huku kote anaonewa???
Ukiwa unatetea haki unaweza kukumbana na mengi, sioni ajabu kama alipatwa na madhila mengi inawezekana ni tabia yake ya kusema ukweli. Yesu naye alikataliwa sana kwa sababu ya ukweli, hata mtume naye alikimbizwa kwa kusema ukweli, Dr King aliuwawa kwa kusema ukweli, Nelson mandela alifungwa kwa kusema ukweli kwa hivyo wakati mwingi ukweli unagharama kubwa. sasa kama unataka kumhukumu Zitto kwa historia yake leta matukio , kwani lile ninalolijua mimi la kufukuzwa bungeni lilithibitika kwamba alikuwa anasema ukweli na alikuwa anasimamia ukweli na mpaka leo wanajuta sasa wewe unasema nini?? Demokrasia yetu haileti tija inaogopesha tu. Ni lazima tujenge misingi ya kusimamia misimamo yetu.
Thumb up Zitto.
 
kusema neno hovyohovyo ndio kusema ukweli?
The fact is CCM wanaweza kuafford haya malumbano ya lugha etc. Zitto na upinzani wanatakiwa kuwa focused. Wao wanakuwa taken very easily out of serious discussions. Zitto kama ana agenda anataka kumove forward basi aombe msamaha aendelee kuimove hiyo agenda, ila kama yuko pale kwa mipasho basi andelee na mjadala wa lugha.
CCM wametengeneza bajeti, wanataka ipitishwe na zoezi zima la kupitisha lina deadline, kwa hiyo kadri muda mwingi unavyotumika kwenye mipasho ndio jinsi muda wa kujadilii contents za bajeti unakuwa mdogo.Kama Zitto kweli anakerwa na content ya bajeti basi afanye uchaguzi sahihi ASAP.
 
Back
Top Bottom