Zitto Mahakamani Kigoma

Zitto Mahakamani Kigoma

Ila pia kijana zito unaongea sana thus y hata sisi vijana wenye lengo la kuikomboa tanzania tuna kuwa na mashaka nawe. Y unaongea sana. Mana leo nimepitia gazeti la mwananchi ukiwa katika mkutano wa hahdara kigoma unasema wazako chadema wanachuki na wewe,na unataka kugombea uraisi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona mapema sana plz kijengeni chama kwanza mana bila kufanya hivyo hata ukija gombea urais itakuwa kazi bure mana chama kitakuwa hakina nguvu .

Plz zito acha kuongea sana na sasa ukiwa kama katibu msaidizi,zama katika malango ya kujenga chama na si vinginevyo.
 
Niliwahi kuuliza Mara tatu humu jf, kwanini kila zito akiwa kigoma hata kama ni kijijini kwake vyombo vingi vinaripoti kila anachofanya? Huwa anasafiri nao na kuwalipa? Kama anafanya hivyo lengo lake ni nini?

Unadhani kuna mkoa usio na waandishi wa habari nchini kwa sasa?na haujui kuwa kazi yao ni kuzitafuta habari?
 
Mhh hii nchi bwana dah. Sijui tunakwenda wapi?mara huku zito wamemfunguli kesi ,mara huku lema wamempiga ,huku wamezima mkutano wa chadema dah sijui tunakwenda wapi , ila haya mambo yanamwisho wake kila kitu na zama zake.
Pole vijana ndo siasa na lengo la kuwakomboa watanzania lazima hayo yawakute tu.

Ushauriiiiii jeshi la polisi liongeze wasomi kuliko hawa askari walioko sasa ambao wanatumia vyeti vya kaka zao,wajomba zao etc.

Kwa huu usanii unaochezwa kati ya Zitto Kabwe na Mafisadi kwa kutumia vyombo vyetu vya TBC, Mahakama na magazeti mbali mbali, sitopendezewa kusikia POLISI wakilaumiwa humu.

Kwa watu tuliokesha usiku wa jana, kulikua na RIPOTI ya mapema sanaaa tu kwamba itakapofika mida ya mchana mchana hivi hala sasa eti ni breaki new humu -- Miguu yangu, bure kabisa!!!

Zitto kama njia tulizokupa hapa JF zimekushinda kufuata basi usijisumbue kutushirikisha ndani ya anguko lako.
 
Guys mnaojiita wana mapunduzi, msitegemee kabisa kuwa na wanasiasa wana mapinduzi watakaojitoa kabisa kwa ajili ya nchi hii

mna-katisha tamaa kwenye keyboard zenu hizi

anyway endeleeni kupoteza muda na kujaza post zisizo na tija kwa taifa

mtu anasema yuko mahakamani then ---asulubiwe asulubiwe....
shame on you!
 
dah!huyu jamaa hata akipigwa risasi mi sina imani naye,mi naona amepanga na ccm aonekane mpiganaji kama godbless lema,huyu jamaa sina imani naye
 
Kwa huu usanii unaochezwa kati ya Zitto Kabwe na Mafisadi kwa kutumia vyombo vyetu vya TBC, Mahakama na magazeti mbali mbali, sitopendezewa kusikia POLISI wakilaumiwa humu.

Kwa watu tuliokesha usiku wa jana, kulikua na RIPOTI ya mapema sanaaa tu kwamba itakapofika mida ya mchana mchana hivi hala sasa eti ni breaki new humu -- Miguu yangu, bure kabisa!!!

Zitto kama njia tulizokupa hapa JF zimekushinda kufuata basi usijisumbue kutushirikisha ndani ya anguko lako.

Mkuu, hivi hata kipindi kile cha uchaguzi walipompiga kwa mabomu na kumjeruhi mdogo wake kwa risasi katika ofisi za CHADEMA kule Ujiji ilikuwa ni usanii?? au wewe ndio msanii??

Ila pia kijana zito unaongea sana thus y hata sisi vijana wenye lengo la kuikomboa tanzania tuna kuwa na mashaka nawe. Y unaongea sana. Mana leo nimepitia gazeti la mwananchi ukiwa katika mkutano wa hahdara kigoma unasema wazako chadema wanachuki na wewe,na unataka kugombea uraisi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona mapema sana plz kijengeni chama kwanza mana bila kufanya hivyo hata ukija gombea urais itakuwa kazi bure mana chama kitakuwa hakina nguvu .

Plz zito acha kuongea sana na sasa ukiwa kama katibu msaidizi,zama katika malango ya kujenga chama na si vinginevyo.

Don't believe the hype mkuu, hivi hilo gazeti lililoandika unajua linachapishwa/milikiwa na nani?

Zito jenga chama acha kuongea sana.

Kwa hiyo suala la Mh. Zitto kukamatwa na kusweka ndani halina uzito wowote kwako?
 
dah!huyu jamaa hata akipigwa risasi mi sina imani naye,mi naona amepanga na ccm aonekane mpiganaji kama godbless lema,huyu jamaa sina imani naye

Mkuu, Kutokuwa na imani naye na kupigwa risasi, wapi na wapi?;

Kwa hiyo akipigwa risasi ndio utaamini?;

Utaamini wakati hatakuwepo??;

Jamani mtu anaweza kuwa na mapungfu yake lakini hii ya kumsakama namna hii kila wakati haisaidii CHADEMA.

Huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano na kuendeleza mapambano yetu na adui...

PamoJAH!
 
Zitto,
Kuna watu wako bent on "Character Assasination".
Wewe unapata matatizo kama haya na wao wanatumia matatizo yaliyokufika kukukandamiza.
CHADEMA ni Chama cha watu fulani na wewe ulishawahi kumchallenge mmoja wao...hao watu wana visasi sana.
Angalia sana...
 
Politics in Tanzania is becoming a heavyweight, intricately woven and dangerous game. Results of ufisadi! Zitto has quickly moved from being the exemplelary youth to double agent. Msubirin J.J Mnyika sasa!
 
Ila pia kijana zito unaongea sana thus y hata sisi vijana wenye lengo la kuikomboa tanzania tuna kuwa na mashaka nawe. Y unaongea sana. Mana leo nimepitia gazeti la mwananchi ukiwa katika mkutano wa hahdara kigoma unasema wazako chadema wanachuki na wewe,na unataka kugombea uraisi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona mapema sana plz kijengeni chama kwanza mana bila kufanya hivyo hata ukija gombea urais itakuwa kazi bure mana chama kitakuwa hakina nguvu .

Plz zito acha kuongea sana na sasa ukiwa kama katibu msaidizi,zama katika malango ya kujenga chama na si vinginevyo.
KIBE hii ni post yako ya siku ya christmas 2010, naona ZZK kaanza zamani sana kutangaza nia ya kugombea urais. Tumpe sapoti na kumuombea kwa mwenyezi Mungu amjalie afya njema.
 
Last edited by a moderator:
Zitto,
Kuna watu wako bent on "Character Assasination".
Wewe unapata matatizo kama haya na wao wanatumia matatizo yaliyokufika kukukandamiza.
CHADEMA ni Chama cha watu fulani na wewe ulishawahi kumchallenge mmoja wao...hao watu wana visasi sana.
Angalia sana...

Sasa wewe ni miongoni mwa wananchi wenye siasa za maji taka! Ukitaka nitakupatia ufafanuzi.
 
Criminal Case no. 10 of 2010

Republic versus ZITTO ZUBERI KABWE

CHARGE: STATEMENT OF OFFENCE

UNLAWFUL RESCUE OF A PERSON UNDER LAWFUL CUSTODY; Contrary to section 115(1)(c) and 35 of the Penal Code (CAP.16 R.E 2001).

PARTICULARS OF OFFENCES

ZITTO ZUBERI KABWE on 27 day of October 2010 at about 11:00 hours at Mahembe Police station in Kigoma District and Kigoma Region by using force did rescue PETER KIBWEGA who was under lawfully custody of police at Mahembe police station.
==============================
========

Can a rescue be unlawful?
 
Back
Top Bottom