Zitto Mahakamani Kigoma

CCM wasitake kutuchezea akili wanataka kutuonesha kwamba hawamtumii zitto kuvuruga CHADEMA wanajifanya kumfungulia zitto mashtaka ili tuamini kwamba hawamtumii. danganya toto hiyo tunajua zitto is part and parcel of ccm. SIDANGANYIKI.
 
Amefikishwa mahakamani leo kwa madai kuwa alimtorosha mtuhumiwa ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa polisi. Ila hayo yote yametokana na sakata la umeya kigoma/ujiji.
 
Amefikishwa mahakamani leo kwa madai kuwa alimtorosha mtuhumiwa ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa polisi. Ila hayo yote yametokana na sakata la umeya kigoma/ujiji.

Siyo sakata la Umeya -- ni sakata la kampeni lililotokea Okt 27. Tazama post yake Zitto mwenyewe iliyowekwa No 1 hapo juu.

Jee Zitto kapanga kukamatwa kwake na kufikisha mahakamani ili azoe sympathy kutoka kwa wananchi -- hususan wanaChadema -- ambao imani yao ilikuwa inapotea very fast kutokana na kauli zake tata?

Huwezi ukashangaa hili, wakala wake, akina RA wanao uwezo wa kufanikisha hili! Kabisa wanaweza -- these people a really crooks! Siku zote polisi walikuwa wapi wasimkamate Zitto!
 
Zito amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa katika kituo cha Polisi wakati wa kampeni.

Amesomewa mashitaka, amekanusha na amedhaminiwa na mtu mmoja hadi kesi itakapotajwa tena January 2011.

Source:
Breaking News ya Radio One kama ilivyoripotiwa na Reporter wao Msokolo.

KUTOKA KWA ZITTO:

Dear Friends,

Leo nimepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kigom. Kosa langu hili hapa chini. Hii ni kwa taarifa tu.

Criminal Case no. 10 of 2010

Republic versus ZITTO ZUBERI KABWE

CHARGE: STATEMENT OF OFFENCE

UNLAWFUL RESCUE OF A PERSON UNDER LAWFUL CUSTODY; Contrary to section 115(1)(c) and 35 of the Penal Code (CAP.16 R.E 2001).

PARTICULARS OF OFFENCES

ZITTO ZUBERI KABWE on 27 day of October 2010 at about 11:00 hours at Mahembe Police station in Kigoma District and Kigoma Region by using force did rescue PETER KIBWEGA who was under lawfully custody of police at Mahembe police station.
==============================
========

Kesi tarehe 10 Februari.

Zitto
--
Kabwe Z. Zitto,MP
Deputy Secretary General CHADEMA
Member of Parliament, Kigoma North, Tanzania.

Hivi mahaka za Kigoma zinaendesha kesi kwa kingereza................... KUDADEKI!!
 
Zitto If you are here please clear the air.
But I cant trsust something from ''Kudadadeki''
akisema tunamtukana, akikaa kimya tunamuita aseme... JF bwana kiboko

ZItto has chosen the way to communicate to his people and i think we need to live with it, JF is no longer people's favorite to share things because of our own acts/conducts
 
zito atubu, awakene akina mkwere, then arudi kwa wananchi akumbuke miaka 10 iliopita, hakua na jina wala umaarufu. He can be forgiven.
 
So ile post ya asbh kumbe imekua kweli, thanks GOD hua sina tabia ya kudharau kitu, post iliwekwa hapa asbh ya leo kua kuna njama za kumkamata ZITO yes imetokea! asante kwa alietuma post hio ila tu isijekua na yeye ni mmoja wa hao waliohusika maana JF naskia inapendwa sana na POLISI, YES i CAN PROVE IT, aslimia kubwa ya guests ni hao jamaa na baadhi yao ndo hao wameamua kujiunga na JF! thanx, naenda mbagala huku na enjoy JF
 
Niliwahi kuuliza Mara tatu humu jf, kwanini kila zito akiwa kigoma hata kama ni kijijini kwake vyombo vingi vinaripoti kila anachofanya? Huwa anasafiri nao na kuwalipa? Kama anafanya hivyo lengo lake ni nini?
 
Jamani kwa kweli kabisa Jeshi letu la Polisi limeishiwa kama sio kufilisika

Siku hizi limeanza kufanya kazi kwa kuvizia??

Kwani toka tarehe 27/10/2010 mpaka leo miezi miwili walikuwa wapi kumtafuta Zitto?

Au jeshi la Kigoma linafanya kazi kwa sheria ya kutokuvuka mipaka ya Kigoma kiasi cha kungoja mpaka arudi Kigoma?

Hapa naona utata mtupu.
 
May be hayo ndiyo maswali ya kumuuliza IGP Wema Jumapili!!!
 
Pole sana Zitto!!! Tupo nawe (Hasa baada ya kukiri kuwa bado uko royal Chadema)
 
Mbona Zitto alikuwa humu JF half hour ago. Au ni double face!!

Kwi, kwi, kwi, ndio leo mnaligundua hilo kwi, kwi!!!
Kumbuka jana usiko alikua na mahojiano na serikali kwenye TV pale TBC hala eti leo kakamatwa. Picha hii zuri kuliko hata ile ya Predator 4. Kwi kwi kwi.
 
Siyo sakata la Umeya -- ni sakata la kampeni lililotokea Okt 27. Tazama post yake Zitto mwenyewe iliyowekwa No 1 hapo juu.

Jee Zitto kapanga kukamatwa kwake na kufikisha mahakamani ili azoe sympathy kutoka kwa wananchi -- hususan wanaChadema -- ambao imani yao ilikuwa inapotea very fast kutokana na kauli zake tata?

Huwezi ukashangaa hili, wakala wake, akina RA wanao uwezo wa kufanikisha hili! Kabisa wanaweza -- these people a really crooks! Siku zote polisi walikuwa wapi wasimkamate Zitto!

Crap!!

Ni juzi Zitto Kabwe anahojiwe na serikali ya CCM kipenzi chake juzi usiku halafu kesho yake / siku ya pili yake eti serikali hiyo hiyo ya chama kipenzi CCM sasa ni ya kumkamate sio???? Cheap political mileage seeking.

Isitoshe ni jana tu usiku wa ambapo kwa wale mliokesha hapa jamvini, TAARIFA ZA KUKAMATWA KWA HUYU DOGO ZILITINGA HUMU mapema mno hata kabla Mid-night ya hapo jano. Kero Zitto kero jina lako sasa ni kero tupu mzee!!!

Huu ni upuuzi mtupu!! Public sympathy haipatikani kwa misingi ya UJANJA UJANZA hivi.

Mara leo kakamatwa, kesho anaona kivuli cha mtu kutaka kumuua. Mwambieni dogo atulie aache kabisa hii mipayuko.
 
Wadau hii imekaaje?Hivi CCM na mafisadi wanadhani sisi ni mataahira sana.Hovyooo...This is a poorly ochestrated scenario kujaribu kuonyesha kwamba they are at loggerheads,kwa hiyo hawawezi kuwa na uhusiano.Upuuzi kweli.Hatudanganyiki!
 
Mhh hii nchi bwana dah. Sijui tunakwenda wapi?mara huku zito wamemfunguli kesi ,mara huku lema wamempiga ,huku wamezima mkutano wa chadema dah sijui tunakwenda wapi , ila haya mambo yanamwisho wake kila kitu na zama zake.
Pole vijana ndo siasa na lengo la kuwakomboa watanzania lazima hayo yawakute tu.

Ushauriiiiii jeshi la polisi liongeze wasomi kuliko hawa askari walioko sasa ambao wanatumia vyeti vya kaka zao,wajomba zao etc.
 
Back
Top Bottom