Zitto kuwasilisha hoja J3 wamo wabunge watano wa CCM

Wabunge wa Chadema wanalizika na maisha wanayoishi watanzania inahuzunisha sana,
 
Wapi wakamanda wa Ufisadi kina Olesendeka, Anne Kilango, Godfrey Zambi, Samuel Sitta, Harrisson Makyembe and the like.
 
Duuu CCM wawili tu hao tutasikia baada ya siku chache wameshafukuzwa

Hamna Mkuu. Utaskia wameitwa na Kamati Kuu wajieleze, kesho yake taarifa zinatoka wamekufa. Kama Horrace Kolimba.
 
Magamba, magamba
Kelele nyingiii, majasiri watano tu. naomba niwe mtu wa mwisho kuamini kwamba magamba hata yakipiga kelele sana yanamaanisha yanachokipigia kelele.

Unafiki mtupu. Hii ina maana kwamba wote ni mtandao wa wezi tu.
 
Nafikiri tatizo hapa ni maneno
yanayotumika! Ni notisi ndiyo inaweza kuja jtatu! Hivyo, naamini mh. Zitto Kabwe anajua fika katiba inasemaje.
Labda kwa msisitizo kwa mujibu wa ibara 53A ya katiba kinachotangulia kuletwa kwa spika ni notisi ya kusudio la kuleta hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Isipungue siku kumi na nne toka notisi kutolewa hoja yenyewe inaweza kuletwa.
 
Mzee mamvii nae mbona sijmwona ktk list? si alisema serikali ya Kikwete haitaki kuchukua maamuzi magumu
 
Sasa CUF wameshagundua kuwa wametumwa na wananchi na sio kuburuzwa na Magamba. Kwa hilo tumegundua mmerudi kundini na ongezeni jitihada kusudi tuwaweke ktk kambi rasmi ya upinzani. Mngeshirikiana nasi tangu zamani sasa hivi Tanzania ingebadilika sana. Magamba ni Janga jamani

 
Ikipitishwa sheria ya ghafla, from nowhere kuwa kuanzia sasa Mawaziri hawatatokana na Wabunge, Wabunge wote wa chama "Twawala" ambao hawajasaini karatasi ya Zitto watasaini fasta fasta!
 
Kweli ukiwa ccm akili inakufa. Hata wale wa kisini ambao bandari yao imebadilishwa na ndege mbovu hawajasaini!!!!!
 
Mkuu Mh.lugola ni mbunge wa mwibara sio bunda.MBUNGE WA bunda MH.GOMBE STREAM NATIONAL PARK ni mchumia tumbo.

hata asipofanikiwa,ujumbe umefika,bila zito kusema vile cdhan kama leo serikal ingekua busy kuwa inajifungia,its gud
 

Tusiwaanini sana CUF - Undumila kuwili ni sera ya chama chao!
 
ninawapongeza hao wabunge ni mshujaa wasiyo kukumbatia ujinga tu taifa lina teketea kwa ufisadi tupambane na wale wasiopenda maendeleo na waliojiwekeza kwenye ufisadi 2015 itakuwa suluhisho na hao wote watashtakiwa na wafilisiwe kwa kila mali waliyoiba
 
na J. Makamba hayumo kumbe ni mchumia tumbo huyu, yeye anaona magambas ni sawa kutunyonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…