Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

Peter Tumaini tunakutegemea wewe mkuu. Wapi Mzee wa matukio ya Live Kamanda Edson wa JF?
 
Tunategemea bajeti ya upinzani kurushwa humu immediately tujue tunaiungaje mkono maana ile ya magamba utafikiri imeandaliwa huku wamelewa gongo kali bila kula!
 
Mbona kaapigwa stop halaf unaambiwa taarifa yake haijaingia kwenye hansard ya bunge
 
Back
Top Bottom