Zitto kuunguruma Kigoma kuanzia Disemba 21

Status
Not open for further replies.
Hata mimi sitaamini hadi Kurugenzi ya Habari au Makene atakapotutaarifu vinginevyo ni safari yake binafsi.

kwa sababu aliyetoa habari ni yule yule aliyekuwa anatupa ratiba ya Kinana.

Hata hivyo Mkuu Quinine,Kurugenzi ya Habari makao makuu sidhani kama itatakiwa kutoa taarifa juu ya kazi binafsi zinazofanywa na Naibu Katibu Mkuu WA ZAMANI.

Maana wabunge wa chama wanapoenda majimboni mwao kwa shughuli za kibunge au binafsi Kurugenzi huwa haiwajibiki kutoa taarifa unless kama ni ziara ya Kitaifa au kiuongozi

Viongozi wakubwa kama wajumbe wa kamati kuu ambao ni wabunge kwa mfano Msigwa,Lema au Mdee wanapofanya ziara majimboni huwa kurugenzi haitangazi ,hata Mnadhimu Mkuu wa kambi ya Upinzani Tundu Lissu

So nilipoulizia source nilitarajia iwe Facebook ,Twitter au Tamko la Mwanasheria wake pale Serena Hotel kutoa ufafanuzi wa Ziara ya Mteja wake

Pia ningeshashauri aambatane na Mwanasheria wake ili amuongoze katika matamshi katika mkutano huo ambao taarifa zinaeleza CCM wako busy kwa maandalizi na kuratibu maandamano .My Candid advice !
 
Last edited by a moderator:
Anaenda kufunga kazi mzee slaa ndipo atakapojua nguvu ya zitto ipoje ataona aibu mwenyewe.
 
kwanza kurugenzi ya habari yenyewe ilishakufa zitto kawavuruga sana hawajui hata wafanye nini zitto kawabana vilivyo kupumua kwenyewe shida.
 
haha..niliwahi ona askari veteran mzee,wa kijijini kwetu.Kila asubuhi alikuwa kaifnaya gwaride na routines nyingine zilizowezekana nyumbani kwake.Kwa vile Alishakuwa addicted na jeshi.
 
Acha upotoshaji, mapokezi yanaratibiwa na CDM Kanda ya Magharibi yakiwa na baraka za KK ya CDM.

Acha uongo.Si kazi ya kamati kuu kuratibu baraka juu ya ziara za watu wanaopaswa kujitetea kwenye vikao juu ya tuhuma zao za usaliti na uhaini

Beside,Kanda haina jukumu la kuratibu ziara za wabunge

Kwa hiyo Mwenyekiti wa CCM Mkoa Dr.Walid Kaborou anaweza kuendelea na uratibu huo ambao taarifa zilizopo ni kuwa wanapanga kurusha kupitia Star TV.
 
Anaenda kufunga kazi mzee slaa ndipo atakapojua nguvu ya zitto ipoje ataona aibu mwenyewe.

Teh teh... Anaenda kuunguruma na mkutano ulioandaliwa na ccm.... Eti ccm mmeandaa vijana kumpokea ptuuuuuuuu! Aibu sana asee, si mumvalishe na tisheti za kijani kabisa
 
Hivi Zitto ataambatana na kina Shonzi katika safari hii? Tunaomba mtoa taarifa atujuze.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom