Zitto kuunguruma Kigoma kuanzia Disemba 21

Status
Not open for further replies.
Hata mimi sitaamini hadi Kurugenzi ya Habari au Makene atakapotutaarifu vinginevyo ni safari yake binafsi.

kwa sababu aliyetoa habari ni yule yule aliyekuwa anatupa ratiba ya Kinana.

zito anaenda kwa wapiga kura wake waliomchagua hana haja ya kumtaarifu kibaraka makene. Hii ziara anaraibu mwenyewe mh zito kama mbunge.
 
mkutano umeandaliwa na chama kwa kupitia jimbo la kigoma kaskazini na utahudhuriwa na wanachadema na wananchi wa pale,kuwakilisha chama sio ishu ishu ni kuwaeleze nini cc wamemfitini.

Kwa hiyo sio kanda tena kwa baraka za KK kama mlivyodai?
 
zito anaenda kwa wapiga kura wake waliomchagua hana haja ya kumtaarifu kibaraka makene. Hii ziara anaraibu mwenyewe mh zito kama mbunge.

1:Jifunze kuandika majina ya watu kwa kuanza na herufi kubwa

2:Asante kwa taarifa kuwa sio baraka za KK kwa Kanda wala viongozi wa Kigoma Kaskazini wanaoratibu bali "ANARAIBU' mwenyewe kama mbunge kwa ushirikiano na watu anaowajua yeye.Asante kwa kuwa mkweli maana wenzako walishaanza uongo hapa
 
We inakuhusu nini?mbona uwakemehi Slaa na Mbowe wanavyoisigina Katiba

Inanihusu kama mwanachadema anayependa kuona misingi ya chama na maazimio ya chombo halali cha chama yaani Kamati Kuu yanatekelezwa jwa usahihi na kwa wakati wakati huo huo natumia fursa hii kutoa ushauri kwa mshirika wangu wa zamani .

Kama kuna mahali Mbowe a Slaa wamesigina katiba basi linatakiwa kupelekwa ndani ya vikao na kushughulikiwa huko kama ilivyotokea kwa MM na kundi lake.

Mimi Mida8 au Cobrah nimeona tu nitumie busara kutoa tahadhari kwakuwa inanihusu.
 
1:Jifunze kuandika majina ya watu kwa kuanza na herufi kubwa

2:Asante kwa taarifa kuwa sio baraka za KK kwa Kanda wala viongozi wa Kigoma Kaskazini wanaoratibu bali "ANARAIBU' mwenyewe kama mbunge kwa ushirikiano na watu anaowajua yeye.Asante kwa kuwa mkweli maana wenzako walishaanza uongo hapa

Anaratibu kwa kushirikiana na MASALIA
 
Mwache akafanye tu huo mkutano, wenyewe si wameamua kumlinda sasa tunalalamika nini?.
 
Ni kweli hawakilishi chadema manake kila kitu kimeratibiwa na ccm... Mchukueni huyo mnafiki chadema hatumtaki

Nashangaa wanamwandalia mikutano kwa tiketi ya cdm! Wamchukue kabisa akapige mikutano na Nape na Kinana!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom